Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

Kama kuna wakati Tanzania inaweza kujivuna kuwa na Rais Makini basi ni huu,
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
#Tanzania kaziiendelee
 
Always cheap is cheap
 
Wewe ndugu the bulldozer kama upo hapo Musoma mwambie mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya tuna taarifa za upigaji kwenye mradi huo, upigaji wenyewe unahusu malipo ya kuwahamisha wananchi wote wanaopisha mradi.

Kwa taarifa zilizopo wananchi wananchi asilimia kubwa wa eneo kuelekea kanisa la Afrika Inland Church wamelipwa fedha zao ila kuna urasimu wasimamizi wa mradi wamecheza wameacha kulipa nyumba takribani 17 kuelekea eneo maarufu (Cabin) kwa Kibin .

Hii ni hujuma au upigaji unaofanywa na hao watu ili wafoji documents za wamiliki wa nyumba hizo na baadaye ionekane walishalipwa.

Toka pesa zimetoka wananchi walikuwa wanalipwa kwa makundi ilihali kundi la mwisho lilikuwa halijaliowa ndilo hilo la nyumba kama 17 ambazo ni awamuya mwisho ili mkandarasi azugushe wig
o aendelee na ujenzi.

Mkuu wa mkoa Mheshimiwa Ally Hapi hili ni eneo lako la kimamlaka na isitoshe eneo lenyewe linatizama ofisi/geti lako so hawa wananchi kama hawajafika kwako taarifa ndiyo hizi wasije wakaupaka rangi nyeusi uongozi wako ndani ya mkoa huo Mara.

Mkuu hebu toa taarifa vizuri hii insue ni serious kama ni kweli,
Wewe ndugu the bulldozer kama upo hapo Musoma mwambie mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya tuna taarifa za upigaji kwenye mradi huo, upigaji wenyewe unahusu malipo ya kuwahamisha wananchi wote wanaopisha mradi.

Kwa taarifa zilizopo wananchi
 
Mkuu hebu toa taarifa vizuri hii insue ni serious kama ni kweli,
Mkuu niliandika Ikajisave kabla sijamaliza.
Kama upo hapo Musoma kuhakikisha hili nenda eneo nilitaja pale juu ufanye investigation yako uone hili jambo.
 
Hapana sipo Musoma mkuu wangu,
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Hii habari ni kweli
 
Maboresho hayo ni pamoja na kuweka lami na kuongeza urefu wa uwanja huo ili kuruhusu ndege kubwa na ndogo kuweza kutua mkoa wa Mara,,Uwanja huu pia utahudumia na maeneo ya jirani kama Simiyu na Mwanza,
Urefu wa njia utaongezwa kwenda wapi wakati uwanja wenyewe umeshakuwa katikati ya mji? Uwanja hauna extra space ya kurefusha njia ya kurukia. Labda waondoe makazi ya watu upande mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…