Rais Samia Atoa Ujumbe wa Eid Al Adh'haa, Awakumbuka Wenye Uhitaji

Hajawakumbuka wenye uhitaji wa kujua mustakabal wa mkataba wa bandari zetu.
 
Mwenye mawasiliano yake jamani huyu mama.Please
 
Sasa hili nalo ni habari.hata mwenye kiti wetu wa mtaa kafanya. Yy anatakiwa kufanya mambo makubwa kama ya Bandari. Maamuzi
 
Bandari , Bandari kwanza
 

Mwambie bandari za Tanganyika haziuzwi kwa waarabu.
 
Stop nonsense, tunataka Tanganyika yetu na bandari zetu

Tanganyika Ichukue,kwani Kuna mtu kakukataza kuichukua??

Bandari sahau,maana mmeshazoea wizi pale bandarin sasa mwisho wenu umeshafika wezi wakubwa.
 
Eid Mubarak
 
Historia, historia, historia

Unakumbuka mzee mgosi alisema nini?
Jamaa bado wapo sana, kuna ambae anafukuzia mia, mwingine huko sabini na kitu, huyu ndio kwanzaaaa sitini
Mtasubiri sana

Even though kifo anapanga Mungu,sisi waislam hatukufikia hatua ya kuomba Magufuli afe,ila Kwa hawa jamaa zetu nongwa imewajaa utadhani yule mtu kauwawa na waislam ili Samia awe president,

Shida Yao wagalatia wengi wanatukuza sana maisha ya Dunia,sisi kwetu Dunia ni kitu Cha kupita,na siku tulizokadiriwa kukaa hapa zikifika bila shaka tutaondoka
 
Mungu amtendee kama Magufuli,

Mungu kumchukua Magufuli ilikua ni ahadi, Magufuli aliandikiwa aishi miaka aliyoish na afe miaka aliyokufa nayo,

Ewe mgalatia usie na akili,nan kakuongopea kuwa dunian tunakaa milele??ni PENGO au??

Samia hata ukimuombea kifo,hatakufa Kwa maombi yako wewe kafi.ri,,atakufa Kwa qadar ya Allah.

Punguzeni chuki waimba kwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…