Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bibi mikopo anachoweza ni kusafiri pekeeAisee, mchana si tulikuwa nae, sasa hivi yupo south 😮
Kazi ipo aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi mikopo anachoweza ni kusafiri pekeeAisee, mchana si tulikuwa nae, sasa hivi yupo south 😮
Kazi ipo aisee!
Tetetetete yule chizi yupo humu muda huuDah watanzania maskini wamebubujikwa na machozi kwa safari hio itakayoleta tija katika maisha yao.
Hili ni chiziKweli we jamaa ni kilaza.
Yaani Rais anapata kura 283 nchi nzima??
Huhitaji Ushahidi, kwani Lucas Mwashambwq una level gani ya elimu ?Kazi mliyobakia nayo kwa sasa ni kazi ya uzushi na uongo tu. Hiyo Billion moja huwa unatoa na kuidhinisha wewe? Unao huo ushahidi ukiambiwa uweke hapa?
Uwezo wako wa kujenga hoja na body language bado ni mchanga Lucas , usiwe kama yule lwenyekiti wa UVCCM aliyevimba mashavu anaomba X ifungweKwa hiyo ulitaka Rais wetu mpendwa atumie ndege ya kukodi?
Hapo mi sielewi,na ndege yake ipo,ila ye anakwea hilo pipa la abiria 500.Hivi hawaoni aibu kutembea na hio ndege ya abiria kila waendako, kama vipi wabadili hayo maandishi ijulikane ni private jet ya rais, iandikwe united republic of Tanzania.
🤣Ndege ni yetu na ndio maana Rais wetu anaitumia na ataendelea kuitumia na tunataka kuona Rais wetu mpendwa akitumia ndege zetu na siyo zile za kukodi kama alivyofanya Rais wa nchi jirani ..ndio raha ya Taifa lenye maoni kuwa na usafiri wa uhakika wa anga kama ilivyo kwetu watanzania
Ina maana kila aendako bakuli liko kwenye juba..!!?Chonde chonde asikope tu na huko,
Endelea kuweweseka na kuumia tu maana naona unaumia sana unapoona habari za Mheshimiwa Rais akitekeleza majukumu yake kwa ufasaha na vyema ,huku akiendelea kulipaisha Taifa letu kidiplomasia.wakati watu wenye akili ndogo na chuki binafsi aina yako wanatamani wasione wala kusikia Rais wetu akizungumzwa wala habari zake kuonekana mahali popote pale.Mama kasemwa na kutukanwa!! Naona mbinu yako imefanikiwa na roho yako kwatuu!! Hongera Kwa ubunifu wako
Watanzania tunaunga mkono safari za Mheshimiwa Rais kwa kuwa zimekuwa na tija kubwa sana na zenye matokeo chanya.tumeona namna ambavyo zmsafari zetu zimeleta fursa mbalimbali za masoko ya mazao yetu kama vile mbaazi na korosho kupata soko kule india kwa bei nzuri,kupata masoko ya maparachichi.tuneona namna idadi ya watalii ilinyoongezeka hasa baada ya Royal tour filamu na kuionyesha huko Duniani kwa makampuni mbalimbali ya kitalii na watalii jambo lililopelekea kufikisha watalii million 1.8 kwa mwaka .kuongeza idadi ya wawekezaji na uwekezaji,kusamehewa baadhiya madeni kama ilivyotokea kwa China kukusamehe Billion 31 na mengine mengi sana manufaa yaliyopatikana kutokana na ziara za Mheshimiwa Rais kama ilivyotokea majuzi kupata mkopo wa masharti nafuu wa Dolla Billion 2.5 utakaolipwa kwa miaka 40 kwa riba ya 0.01%.Huhitaji Ushahidi, kwani Lucas Mwashambwq una level gani ya elimu ?
Unataka nikuletee ushahidi wa matumizi ya Ikulu ? Sehemu ambayo hata CAG haruhusiwi kukagua, Kama Ikulu ni entity kama entity nyingine, kwanini haifanyiwi audit kuhusu matumizi ya pesa ya Serikali? Halafu mimi nilidhan kwa Level yako haya mambo unayajua !
Do you know perdiem ya Rais akiwa nje ni kiasi gan?
Unajua idadi ya watu wanaosafiri na Rais ni wangapi, plus perdiem zao per each . Plus malazi na makazi yao, unajua kuandaa logistics za rais ni kiasi gani ? Unajua ku coordinate transport ya rais na jopo lake ni kiasi gani ?
Hotel anayokaa Rais unajua ina hadhi gani ? Na inatakiwa ichukuliwe vyumba vingapi, wakat mwingine Bil inaweza kua ndogo kulingana na nchi anayoenda.
Lucas rais kusafiri nje sio kama unavosafiri nje ww . Kuna associated cost nyingi mno, bado wale majamaa wanaoweka logistics sawa hawajaweka cha juu chao
Nimegundua wewe Lucas Mwashambwa bado ni mchanga sana kwenye kuchanganua mambo na duru za kisiasa, fanya uchawa wako kismart, unaweza kuishia kupost JF tu , while I expect mwakan wakupe uwe campaign manager wa Samia big chawa
Sio kila kitu unataka scientific data, data nyingine tunatumia traditional and guidance
Ikifika 2030 mtasema watanzania tuungane na makamba😳Watanzania tunaunga mkono safari za Mheshimiwa Rais kwa kuwa zimekuwa na tija kubwa sana na zenye matokeo chanya.tumeona namna ambavyo zmsafari zetu zimeleta fursa mbalimbali za masoko ya mazao yetu kama vile mbaazi na korosho kupata soko kule india kwa bei nzuri,kupata masoko ya maparachichi.tuneona namna idadi ya watalii ilinyoongezeka hasa baada ya Royal tour filamu na kuionyesha huko Duniani kwa makampuni mbalimbali ya kitalii na watalii jambo lililopelekea kufikisha watalii million 1.8 kwa mwaka .kuongeza idadi ya wawekezaji na uwekezaji,kusamehewa baadhiya madeni kama ilivyotokea kwa China kukusamehe Billion 31 na mengine mengi sana manufaa yaliyopatikana kutokana na ziara za Mheshimiwa Rais kama ilivyotokea majuzi kupata mkopo wa masharti nafuu wa Dolla Billion 2.5 utakaolipwa kwa miaka 40 kwa riba ya 0.01%.
Watanzania Hatupo tayari kuona Rais wetu akijifungia hapa ndani ya Nchi.Tanzania siyo kisiwa .acha Rais wetu achape kazi .
wewe ndio jifungie ndani mwako na familia yako humo humo kama mgonjwa
Uwe na adabu dogo ,acha kuropoka ropoka kama mlevi wa gongo.Bibi mikopo anachoweza ni kusafiri pekee
Akiambiwa ukweli,ni kuropoka. Ukichaa sio lazima kuokota makopoUwe na adabu dogo ,acha kuropoka ropoka kama mlevi wa gongo.
Kwa hiyo ulitaka Rais wetu mpendwa atumie ndege ya kukodi?
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua kwa kishindo na salama kabisa Nchini Afrika kusini,ambako amekwenda kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Rais wa Taifa hilo Mheshimiwa Ramaphosa utakaofanyika siku ya kesho.
Hii ni baada ya kupata ushindi wa kura takribani 283 baada ya kuungana na chama cha DA(Demoratic Alliance)zidi ya mgombea wa kutoka chama cha EFF cha Julius Malema.ikumbukwe ya kuwa safari hiyo ni ya muhimu sana kwa Rais wetu kuhudhuria,hasa kwa kuzingatia historia yetu ya kipekee kabisa na Taifa letu na Afrika kusini.
Ndio maana mnakumbuka mwaka 2013 namna Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete namna alivyoshangiliwa kwa kishindo na wa Afrika kusini wakati wa msiba wa hayati Nelson Mandela wakati akitoa historia yetu na yeye na namna Tanzania ilivyo msaidia Nelson Mandela katika masuala mbalimbali,hadi akawatania kuwa alisahau viatu vyake na alikuwa akitumia paspoti yetu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Afrika Kusini kwenye uapisho wa Ramaphosa
- Rais Samia kwenda Afrika Kusini kwenye uapisho wa Ramaphosa
Yule bibi ni hasara kubwa.Ndio sasa watu watambue umuhimu wa katiba.Unaijua 5H-1, Gulf stream ilinunuliwa kwa kazi gani?
Hapo SA si angepanda tu Passenger plane akakaa business seat mbili na Bodyguards wake na wawili watatu anaokwenda nao kuzika wakakaa huko econom class.
Kwenda kuzika mpaka uwashe A320 uchome mafuta, tunachezea sana Kodi za wananchi.