Rais Samia atua mkoani Kilimanjaro tayari kuzungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi

Umekybaliii saa 200 mwepesiii??? Basi sawaa
Labda kama akiwa CDM, lakini ndani ya CCM unakua powerful automatically, mfano mdogo nakupa ni Marehemu Lowasa alikua powerful ndani ya CCM, alivyo hamia CDM akawa powerless hadi akaamua kurudi zake CCM !!
 
Nadhani umeona connection ya police,wasiojulikana vs huyo RC mvaa kanzu na Kiongozi mkuu.
 
Kwa Hali ilivyo sasa naona maCcm yenye uroho yameamuaa kuia nchi nzuri ilikuwa inaitwa Tanzania,

Maccm yanadhani kwa.kujidanganya matendo yao ovu yataendelea kufaidi rasilimali huku Tanzania ikiendelea kuwepo


Maccm majinga yanadhani na yanaamini vyombo vya dola vitaendelea kuwabeba wakati wanakula kuku kwa.mrijs

Yanashindwa kuelewa kuwa nchi ikiingia machafukoni hata hayo maccm majizi hayataweza kufaidi ufisadi wao kwa uhuru

Eti yanajiliwadha kwa kuwa yamenunua nyumba Dubai na Oman ili kukinuka yakimbie nchi, ni kujilisha upepo

Dogo Lucas waambie maccm wenzio tutaharibikiwa wote waliomo na wasiomo
 
Binamu hata kuandika tu tabu sasa utakuwaje na "critical mind" dhidi ya CCM ?!!

Ona huu utopolo "kujiliwadha"....🤣
 
Viongozi Waandamizi wa Jeshi la polizi wajiandae kwa Panga pangua (reshuffle) kubwa inayokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…