Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Umekybaliii saa 200 mwepesiii??? Basi sawaaUrais ni taasisi hata wwe ukiwekwa pale unaweza!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekybaliii saa 200 mwepesiii??? Basi sawaaUrais ni taasisi hata wwe ukiwekwa pale unaweza!!
Labda kama akiwa CDM, lakini ndani ya CCM unakua powerful automatically, mfano mdogo nakupa ni Marehemu Lowasa alikua powerful ndani ya CCM, alivyo hamia CDM akawa powerless hadi akaamua kurudi zake CCM !!Umekybaliii saa 200 mwepesiii??? Basi sawaa
Uwe na subira ndugu yangu na wala usiwe na wasiwasiTaarifa ya watekaji na wauaji kukamatwa itatolewa?
Polisi hii ya Wambura,Kingai,Awadh na yule anaye jiita mwenyekiti wa RCO's?Huyo ndio Mwamba Mwenyewe
Unatapatapa kwelikweli mpaka unatia huruma.chuki binafsi tu ndio zimekujaaNadhani umeona connection ya wasiojulikana vs huyo RC mvaa kanzu na Kiongozi mkuu.
Wakaambiane kwamba raia wamechachamaa, legeza vitendo vya kutekana!!Unatapatapa kwelikweli mpaka unatia huruma.chuki binafsi tu ndio zimekujaa
Huyo ndio Mwamba Mwenyewe
🤣Can't wait to see maofisa wakibubujikwa
🤣Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga.
Wananchi wanasubiri kwa hamu na kiu kubwa sana hotuba ya Mama yetu hapo siku ya kesho.vipi kuhusu wananchi hawaja bubujikwa machozi ???
Hana huo wepesi...Umekybaliii saa 200 mwepesiii??? Basi sawaa
Speculations ....Nadhani umeona connection ya police,wasiojulikana vs huyo RC mvaa kanzu na Kiongozi mkuu.
Kwa Hali ilivyo sasa naona maCcm yenye uroho yameamuaa kuia nchi nzuri ilikuwa inaitwa Tanzania,Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Binamu hata kuandika tu tabu sasa utakuwaje na "critical mind" dhidi ya CCM ?!!Kwa Hali ilivyo sasa naona maCcm yenye uroho yameamuaa kuia nchi nzuri ilikuwa inaitwa Tanzania,
Maccm yanadhani kwa.kujidanganya matendo yao ovu yataendelea kufaidi rasilimali huku Tanzania ikiendelea kuwepo
Maccm majinga yanadhani na yanaamini vyombo vya dola vitaendelea kuwabeba wakati wanakula kuku kwa.mrijs
Yanashindwa kuelewa kuwa nchi ikiingia machafukoni hata hayo maccm majizi hayataweza kufaidi ufisadi wao kwa uhuru
Eti yanajiliwadha kwa kuwa yamenunua nyumba Dubai na Oman ili kukinuka yakimbie nchi, ni kujilisha upepo
Dogo Lucas waambie maccm wenzio tutaharibikiwa wote waliomo na wasiomo