Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Alifanya yepi mazuri kuliko Mazaa? Sema kwa facts, kwa mfano hapa watu wanaongelea movie ilifanyiwa uzinduzi US, taja movie ya babaako ilofanya vizuri kuliko ya mazaa, ili tulinganishe!Mbona unamkandia aliyefanya vizuri kuliko wote
Baba yangu alifariki miaka 50 iliyopita! Unaongelea Yupi?Alifanya yepi mazuri kuliko Mazaa? Sema kwa facts, kwa mfano hapa watu wanaongelea movie ilifanyiwa uzinduzi US, taja movie ya babaako ilofanya vizuri kuliko ya mazaa, ili tulinganishe!
Mkuu, labda ni kweli huyo jamaa ana low brain, lakini hapo kwenye div sijui wani sijui sirii, umefeli! Una low brain kuliko yeye, kama kuwa na brain, kwa upande wako, ni kupata div one na kwenda mlimani, basi iq yako ni sawa na ya mende!Jibu ni rahisi kwako kwamba una low brain ya kujua mambo haya yako juubya uwezo wako. Ungepata div one angalau ukaenda udsm ungeelewa haya. Lakini div three yako na kwenda SAUT huwezi elewa.
Mwanakwendazake unaye mwabudu!Baba yangu alifariki miaka 50 iliyopita! Unaongelea Yupi?
Kwani mwanzoni alisema source ilitoka wapi?Mbona hiyo hela ya utengenezaji wa hiyo Movie kila siku ni habr mpya mpya tunafichwa nini?
Jibu Rahisi ni kwamba TUMEPIGWA!
Huyo alikuwa mdogo wangu kiumriMwanakwendazake unaye mwabudu!
Kwani unataka kusema aliye na div zero ndo ana akiri kuliko mwenye div one?Mkuu, labda ni kweli huyo jamaa ana low brain, lakini hapo kwenye div sijui wani sijui sirii, umefeli! Una low brain kuliko yeye, kama kuwa na brain, kwa upande wako, ni kupata div one na kwenda mlimani, basi iq yako ni sawa na ya mende!
Kuna ambao hawana hata hiyo div 0 lakini wana akili nzuri tu!Kwani unataka kusema aliye na div zero ndo ana akiri kuliko mwenye div one?