inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Nakisi ya bajeti tunaiondoa vipi,ikiwi tozo za muamala tu mlilia!?Yaani hapo ndo naona tunakosea sana,
ombaomba kwa wajomba haisaidii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakisi ya bajeti tunaiondoa vipi,ikiwi tozo za muamala tu mlilia!?Yaani hapo ndo naona tunakosea sana,
ombaomba kwa wajomba haisaidii
Huyu maza ni muongo balaa
Bado Tanzania hatupo vizurina ndio wasiwasi wa wengi ulipo.Kabla ya covid walikua wanakuja wangapi hiyo high season!?...ili tujue Kama royal tour imetulipa
Dreamliner yetu haiwezi kweli kufanya safari hizi?Tunaangalia uwezekano wa kuwa na ndege zitakazotoka moja kwa moja Dallas mpaka Tanzania kuleta wageni
Wapi palikuwa pamepinda, palipindapindaje na kusababisha changamoto, nani alipapindisha 'tumsonte kidole', mmepanyooshaje kiasi kwamba hatuna tena changamoto ya kupinda?Aidha, Rais Samia amesema akiwa ziarani amezungumza na Serikali ya Marekani na kunyoosha pale palipokuwa na changamoto, akisema "Sasa tupo vizuri, tunaenda nao vizuri sana"
Watanzania tutanufaikaje na udugu wa jiji la Dallas na miji yetu, na hao Dallas watanufaikaje?Rais Samia: Kuna kundi lilienda kufanya Mkutano na Meya wa Jiji la Dallas, na matokeo ya Mkutano ule ni kwamba wenzetu wamekubali na wana hamu wafanye undugu na Miji yetu
Nimeuliza high season huja wangapi kabla ya covid,we unaniletea tangazo la tahadhari,we vipi!!?...sema huja wangapi ili wakipungua high season hii tuone kuwa royal tour haijalipa,hapo hatukulenga ilipe ghaflaBado Tanzania hatupo vizurina ndio wasiwasi wa wengi ulipo.
Wenzetu wakitaka kuja huwa wanaangalia trevel advisory. Nchi yao inasema nn kuhusu nchi unayotaka kwenda
Kwa sasa hatupo vizuri kabisa na ndio maana idadi ya wanaokuja ni ndogo
View attachment 2203369
Mbona wamenuna...mleta picha ebu tupe picha nzuri, Mama amerudi 'watoto wake' hatuwezi kununa namna hii.Uwanja wa ndege KIA, wanawanchi wakiwa tayari kumpokea Mama
View attachment 2203333
Maswali muhimu haya. Royo tua ni biashara, tupange mahesabu mapema.Nimeuliza high season huja wangapi kabla ya covid,we unaniletea tangazo la tahadhari,we vipi!!?...sema huja wangapi ili wakipungua high season hii tuone kuwa royal tour haijalipa,hapo hatukulenga ilipe ghafla
Watalii Kuna au kutokuja sio sababu ya royal tour.Ni sekta ipi inayoingizia nchi fedha nyingi ikiwa utalii ni pety!?...
Royal tour hadi sasa haina impact kwa kuwa ndio imezinduliwa, na wao kuja kwao hakutegemi royal tour Bali usalama wao.Nimeuliza high season huja wangapi kabla ya covid,we unaniletea tangazo la tahadhari,we vipi!!?...sema huja wangapi ili wakipungua high season hii tuone kuwa royal tour haijalipa,hapo hatukulenga ilipe ghafla
Wewe ni mpuuzi tu usiyejua lolote,baada ya jakaya kuendesha kampeni ya kutangaza utalii ikiwemo kwenye ligi kuu ya uingereza,ghafla watalii wakifika milioni na kuwa sekta inayoingizia nchi pesa nyingi za kigeni,royal tour ni tangazo la biashara ya utalii wa Tanzania,siyo filamu Kama bongo movieWatalii Kuna au kutokuja sio sababu ya royal tour.
Watalii wengi wanaokuja huwa hawapendi kurudi tena Tanzania. Sababu zinazofanya wasirudi ndio tunapaswa kushughulika nazo.
Pili bado Tanzania hatupo kwenye nafasi nzuri ya kiusalama kwa watalii na ndio maana hawaji wengi. US wametuweka kwenye kundi la hatari
View attachment 2203375
Tukitaka kujua mchango wake kupitia muvi turudi kwenye takwimu za watalii nchini let say za miaka mitatu iliyopita na kutoka sasa mpaka miaka mitatu ijayo ama mitano kama namba itaongezekaHata mimi niko kama mawazo yako yalivyo, kuna tabia ya kutaka kuwa na Taifa la kupandikizana chuki bila kukosewa kitu na mtu.
Kwanza mpaka dakika hii mama amerudisha uhuru wa Watanzania kwa kiasi kikubwa na shughuri za kisiasa zinarudi, mengine apewe muda, binafsi namuona mama ni muungwana sana.
Mbona hiyo hela ya utengenezaji wa hiyo Movie kila siku ni habr mpya mpya tunafichwa nini?
Jibu Rahisi ni kwamba TUMEPIGWA!
Sio zama hizi lakiniSina mwanasheria, ngoja ninyamaze
Maswali muhimu haya. Royo tua ni biashara, tupange mahesabu mapema.Nimeuliza high season huja wangapi kabla ya covid,we unaniletea tangazo la tahadhari,we vipi!!?...sema huja wangapi ili wakipungua high season hii tuone kuwa royal tour haijalipa,hapo hatukulenga ilipe ghafla
Mbona wamenuna...mleta picha ebu tupe picha nzuri, Mama amerudi 'watoto wake' hatuwezi kununa namna hii.
Kampeni ya kutangaza utalii ilikua mwaka gani?Wewe ni mpuuzi tu usiyejua lolote,baada ya jakaya kuendesha kampeni ya kutangaza utalii ikiwemo kwenye ligi kuu ya uingereza,ghafla watalii wakifika milioni na kuwa sekta inayoingizia nchi pesa nyingi za kigeni,royal tour ni tangazo la biashara ya utalii wa Tanzania,siyo filamu Kama bongo movie
Mishahara yenu ibakie palepale, ikipanda mtatutesa sana mitaani!Tunasubiri mishahara, hatuna muda na porojoo