Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji15][emoji848][emoji2827][emoji2827]Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi
Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19
Aidha, Rais Samia amesema akiwa ziarani amezungumza na Serikali ya Marekani na kunyoosha pale palipokuwa na changamoto, akisema "Sasa tupo vizuri, tunaenda nao vizuri sana"
KUNA SIKU ITAJULIKANA TUU HIZI PESA ZILITOKA WAPI.. Maana kila siku tunabadilishiwa santuri