Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

Bado Udom, Mzumbe,Tumaini, IFM, St. Joseph universities, hazijampatia hiyo kitu.

Abudabi, Qatar, Misri, wajiandae pia kumpatia.
Hii biashara anaifanya Makamba Jn ,sijajua lengo lake ila time will tell.
 
Alifirisi nchi. Hakuwa na kipaumbele kulingana na bajeti ya nchi. Huwezi kuendesha nchi as if bajeti ya nchi ni sawa na bajeti ya marekani ndo mana vyuma vilikuwa vimekaza kila sehemu na watu wamekufa wengi kwa stress ndo kuvunjika kwa sababu yake
Mabadiliko huwa yanahitaji machozi na damu ,hauwezi kujenga uchumi imara ukiwa umekaa kwenye kiti cha kuzunguka na bia mkononi, lazima ulipe gharama iwe kwa damu na machozi.
 
Mama anastahili Tuzo,anajenga miradi ya Viwanja vya ndege Jumla 15 across Tanzania na mingine imepangwa kuanza mwaka ujao wa Fedha.

Viva Samia Viva,endelea.kuifungua Nchi na Kuwatesa wale waliposema wanaandamna harafu kiki imebuma πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7vyf01qq_d/?igsh=cDE5NGU2NGw5bzNh
 
Ifikie sehemu mabalozi wawe competent bana,hiyo inaweza kuwa nafasi adhimu hata ya kuomba scholarship za watanzania hata 50 kwenda kusoma hicho chuo.
Cha ajabu unaweza kukuta inaishia Rais kupewa hiyo na story inaishia hapo.Basi walau wasomi na watu wajuvi wa opportunities kama hizo kufuatana na Rais kwenye hizo ziara ili angalau kuona namna nzuri ya kuzitumia fursa kama hizo.Sasa najiuliza hao wasanii wetu hapo wanatumiaje hyo fursa aisee!?Tunajua wenzetu kama hao wakorea sio wajinga watoe hizo phd za heshima kifala lakini na sisi tungekuwa tunapitia humohumo,tusiishie kula tu chakula cha kikorea tunarudi
 
Chuo kikuu cha anga!
 
Ni baada ya miaka mitatu tu ya Urais. Kuna mitano mingine huko mbele, hapo miradi yote aliyoianzisha Magu itakuwa imemalizika na itaipatia Tz ma-trilioni ya shilingi.
Hivi kwanini asipewe PhD za heshima. Bado 7 nyingine au vipi jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…