Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

Ni vyema Rais Samia ungetumia mda mwingi kwenda kuonana na Wapiga kura au kutembelea Maeneo yenye Changamoto kuliko kuhudhuria hafla kama hizo ambazo hazina maana yeyote kwako na Kwa Wananchi.

Pia hayo Mashahada hayajuongezei Tija yeyote Kisiasa badala yake inaonekana unapenda sifa kuliko kufuatilia mambo muhimu.

Ushauri wangu ni vyema ukayapotezea ma hafla yasiyo na Tija Kwako na Kwa Wananchi.

View: https://www.youtube.com/live/dxWYcQ28mrI?si=t3WmJMkDA1brPerd
 
Rais wangu Samia Unaweza ongea Kauli kama hii ukidhani kwamba unaongea jambo zuri na utani ila ukae ukijua kwamba inaondoa Imani Kwa Serikali Kwa chochote ambacho mtakuwa mnaongea au kuwaambia watu.

View: https://www.youtube.com/live/VfjzZ74qGmw?si=UfAP9njAhRl9hbc3
My Take
Kwa staili hii mliochanja mna nini Cha kutushauri ambao hatukuchanja na tunadunda?
 
Hili ni kosa la kiufundi.Kauli ya sebuleni(siri) imeletwa barazani.
 
Zinagawiwa tu bila kufuata vigezo vya kusomea falsafa za taaluma husika, kufanya utafiti unaotatua changamoto katika jamii au kukuza uchumi usio tegemezi kwa misaada. Ajabu sana awamu hii
 
Chagua kwa umakini na uangalifu mkubwa 2025.

Kumbuka, mbali na Halima Mdee au Chacha Wangwe CHADEMA bado hawana Kiongozi aliye na dhamira wala uwezo wa kuendesha serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…