residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Samba Mapangala - Vunja Mifupa.😁😁😁😁
Nimejikuta tu nakumbuka hizi lyrics...
"Somesha mtoto shule apate elimu eenh, atafaidika kwa maisha yakeeeee...."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samba Mapangala - Vunja Mifupa.😁😁😁😁
Nimejikuta tu nakumbuka hizi lyrics...
"Somesha mtoto shule apate elimu eenh, atafaidika kwa maisha yakeeeee...."
Bila kumsahau Babu TaleMsukuma na yeye hakuna tofauti
Hizi PIHECHI DIII ZIMEZIDI..
SIKU HIZI MBNA ZAMAN VIONGOZI HAWAKUWA NAZO SIJAONA NYERERE AKIPEWA, MWINYI AKIPEWA WALA MKAPA AKIPEWA,KIKWETE ALIPATA SIJUI MBILI..
ILA KUANZIA KWA MAGU DUH...
Kuna kitu hakiko sawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar.
Ni aibu kweli kweliBila kumsahau Babu Tale
Nyerere alipewa nyingi sana sema hakuwahi kuitumia. Yule mzee alikuwa na akili nyingi hakutaka makuuHizi PIHECHI DIII ZIMEZIDI..
SIKU HIZI MBNA ZAMAN VIONGOZI HAWAKUWA NAZO SIJAONA NYERERE AKIPEWA, MWINYI AKIPEWA WALA MKAPA AKIPEWA,KIKWETE ALIPATA SIJUI MBILI..
ILA KUANZIA KWA MAGU DUH...
Kuna kitu hakiko sawa
Kwanza hayakuhusu, hiyo ni degree km zingine. Mambo ya chakula chako yanakuhusu weweMatukio kama haya ni kupuuzwa tu sasa hayana tija kwa mwananchi anayeteseka hata sikukuu kashindwa kununua nyama kiama wanao anza sekondari,
Nyerere alipewa nyingi sana sema hakuwahi kuitumia. Yule mzee alikuwa na akili nyingi hakutaka makuuHizi PIHECHI DIII ZIMEZIDI..
SIKU HIZI MBNA ZAMAN VIONGOZI HAWAKUWA NAZO SIJAONA NYERERE AKIPEWA, MWINYI AKIPEWA WALA MKAPA AKIPEWA,KIKWETE ALIPATA SIJUI MBILI..
ILA KUANZIA KWA MAGU DUH...
Kuna kitu hakiko sawa
Kwanza hayakuhusu, hiyo ni degree km zingine. Mambo ya chakula chako yanakuhusu weMatukio kama haya ni kupuuzwa tu sasa hayana tija kwa mwananchi anayeteseka hata sikukuu kashindwa kununua nyama kiama wanao anza sekondari,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar.
Kwa sifa zipi hadi useme "Anastahili"?Anastahili.
P