Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

Nina swali dogo kwa hao watu wa SUZA , ni lini mama Samiah alisimamia uttaliii Zanzibar?. Bora wangemtunuku Dr Mwinyi na sio huyo mama.
 
Nyuki wa mama mpo?

Wakuu, kwanini mtu akiwa na madaraka basi watu ndio wanapaparuka kumpa PhD? Mtu huyo asingekuwa kiongozi angepewa PhD hiyo ya Heshima?

Akina Musukuma, Babu Tale na Rais Samia mwenyewe wasingekuwa kwenye nafasi za uongozi wangeoewa PhD hizo?

Kutwa maamuzi yao yanakosolewa kutokana na kurudisha nyuma maendeleo ya nchi, wasingekuwa kwenye nafasi zao kuna nini cha kuwafanya watunikiwe PhD?

Inahuzunisha wanatoa PhD hizi ni wasomi! Wasomi mnakwama wapi? Mnafanya Elimu ikose thamani. Hivi na nyie mnajikomba ili muonekane?

Mnazingua ujue!
 
Hizi PIHECHI DIII ZIMEZIDI..
SIKU HIZI MBNA ZAMAN VIONGOZI HAWAKUWA NAZO SIJAONA NYERERE AKIPEWA, MWINYI AKIPEWA WALA MKAPA AKIPEWA,KIKWETE ALIPATA SIJUI MBILI..
ILA KUANZIA KWA MAGU DUH...

Kuna kitu hakiko sawa

Watu wanazitamani sana ..... kwa kuwa za darasani ziliwazinda sasa wanapitia mgongo wa nyuma!!
 
Huyu hata akipewa uprofesa. Kama hamnazo hamnazo 2
 
Jibu liko wazi kabisa! Wasingempa.

Na hapa ndipo utakapogundua ni kwa namna gani unafiki, kujipendekeza, na kujitoa ufahamu kwa wasomi wetu kunavyo liangamiza hili Taifa.
 
Hizi PIHECHI DIII ZIMEZIDI..
SIKU HIZI MBNA ZAMAN VIONGOZI HAWAKUWA NAZO SIJAONA NYERERE AKIPEWA, MWINYI AKIPEWA WALA MKAPA AKIPEWA,KIKWETE ALIPATA SIJUI MBILI..
ILA KUANZIA KWA MAGU DUH...

Kuna kitu hakiko sawa
Nyerere alipewa nyingi sana sema hakuwahi kuitumia. Yule mzee alikuwa na akili nyingi hakutaka makuu
Matukio kama haya ni kupuuzwa tu sasa hayana tija kwa mwananchi anayeteseka hata sikukuu kashindwa kununua nyama kiama wanao anza sekondari,
Kwanza hayakuhusu, hiyo ni degree km zingine. Mambo ya chakula chako yanakuhusu wewe
 
Hizi PIHECHI DIII ZIMEZIDI..
SIKU HIZI MBNA ZAMAN VIONGOZI HAWAKUWA NAZO SIJAONA NYERERE AKIPEWA, MWINYI AKIPEWA WALA MKAPA AKIPEWA,KIKWETE ALIPATA SIJUI MBILI..
ILA KUANZIA KWA MAGU DUH...

Kuna kitu hakiko sawa
Nyerere alipewa nyingi sana sema hakuwahi kuitumia. Yule mzee alikuwa na akili nyingi hakutaka makuu
Matukio kama haya ni kupuuzwa tu sasa hayana tija kwa mwananchi anayeteseka hata sikukuu kashindwa kununua nyama kiama wanao anza sekondari,
Kwanza hayakuhusu, hiyo ni degree km zingine. Mambo ya chakula chako yanakuhusu we
 
Back
Top Bottom