Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.

Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata kidogo. Ni mtu na nusu, Ni mtu wa watu ,ni kipenzi cha watu, ni tumaini la watu, ni furaha ya watu, ni tiba kwa wenye huzuni na Ni Chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe.

Haijawahi kutokea mkoa ukafungwa na kusimama kwa shughuli zote na watu wote kuisha majumbani na kukimbilia uwanjani kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Rais na Mkuu wa Nchi.

Lakini Leo watanzania wameshuhudia watu wakifurika na kumiminika uwanjani hata sisiminzi hawezi kupata nafasi ya kusogeze mguu wake kupata kupita na kusonga mbele. Watu wamejaa utafikiri walivutwa kwa Sumaku. Huwezi ukainua mguu wako na kusogeza pembeni.maana ni mguu kwa mguu na hakuna nafasi ya kujisogeza mwili wako.

Hii yote ni kwa kuwa Rais Samia amegusa Maisha ya watanzania,ameleta matumaini, amewezesha Watanzania kutimiza ndoto zao ,ameleta nuru na tabasamu katika nyuso za watu,ameponya mioyo ya wengi na kuwafuta machozi wengi. Amekuwa mfariji wa watu na mkono wake umemfikia kila mtu na jicho lake ni kama La Tai lenye uwezo wa kuona kila mahali na kumfikia kila mmoja mwenye mahitaji ya kupata Msaada wa Rais.

Amekuwa ni Rais Mwenye usikivu na masikio yake yamesikiliza sauti za kila mtanzania na kila kundi. Kinywa chake kinazungumza yawahusuyo na kuwagusa watu. Amekuwa ni mwenye uchungu na maisha ya watu. Ndio sababu watu wanafurika na kumiminika kumlaki na kumpokea kama Sehemu ya kumuunga mkono na kusema asante mama kwa utumishi wako uliotukuka na tupo tayari kwa utumishi wako kwa muhula wa pili.

Kwa hakika wanadamu tuna mambo na vitu vingi sana vya kumuomba Mungu. Lakini kikubwa ni kuwa kama una hekima na busara za kutosha Basi wewe Omba Mungu akupe kibali na kukustahilisha kwa watu. Rais Samia kwa hakika amepewa kibali cha uongozi na Mungu Mwenyewe. Ameinuliwa kwa ajili ya kuongoza Taifa hili.
Screenshot_20250228-151151_1.jpg
Screenshot_20250228-165043_1.jpg
Screenshot_20250228-165102_1.jpg
Screenshot_20250228-164517_1.jpg
Screenshot_20250228-164846_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.

Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata kidogo. Ni mtu na nusu, Ni mtu wa watu ,ni kipenzi cha watu, ni tumaini la watu, ni furaha ya watu, ni tiba kwa wenye huzuni na Ni Chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe.

Haijawahi kutokea mkoa ukafungwa na kusimama kwa shughuli zote na watu wote kuisha majumbani na kukimbilia uwanjani kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Rais na Mkuu wa Nchi.

Lakini Leo watanzania wameshuhudia watu wakifurika na kumiminika uwanjani hata sisiminzi hawezi kupata nafasi ya kusogeze mguu wake kupata kupita na kusonga mbele. Watu wamejaa utafikiri walivutwa kwa Sumaku. Huwezi ukainua mguu wako na kusogeza pembeni.maana ni mguu kwa mguu na hakuna nafasi ya kujisogeza mwili wako.

Hii yote ni kwa kuwa Rais Samia amegusa Maisha ya watanzania,ameleta matumaini, amewezesha Watanzania kutimiza ndoto zao ,ameleta nuru na tabasamu katika nyuso za watu,ameponya mioyo ya wengi na kuwafuta machozi wengi. Amekuwa mfariji wa watu na mkono wake umemfikia kila mtu na jicho lake ni kama La Tai lenye uwezo wa kuona kila mahali na kumfikia kila mmoja mwenye mahitaji ya kupata Msaada wa Rais.

Amekuwa ni Rais Mwenye usikivu na masikio yake yamesikiliza sauti za kila mtanzania na kila kundi. Kinywa chake kinazungumza yawahusuyo na kuwagusa watu. Amekuwa ni mwenye uchungu na maisha ya watu. Ndio sababu watu wanafurika na kumiminika kumlaki na kumpokea kama Sehemu ya kumuunga mkono na kusema asante mama kwa utumishi wako uliotukuka na tupo tayari kwa utumishi wako kwa muhula wa pili.

Kwa hakika wanadamu tuna mambo na vitu vingi sana vya kumuomba Mungu. Lakini kikubwa ni kuwa kama una hekima na busara za kutosha Basi wewe Omba Mungu akupe kibali na kukustahilisha kwa watu. Rais Samia kwa hakika amepewa kibali cha uongozi na Mungu Mwenyewe. Ameinuliwa kwa ajili ya kuongoza Taifa hili.View attachment 3253029

wamesombwa na kila aina ya usafiri na wanafunzi wameambiwa wasivae uniform , wavae kiraia...shule zote zimefungwa na kuja uwanjani.
Of course kuna Lumpen wengi pia ambao wao ni kama sacs of potatoes, unawageuza unavyotaka!
 
wamesombwa na kila aina ya usafiri na wanafunzi wameambiwa wasivae uniform , wavae kiraia...shule zote zimefungwa na kuja uwanjani.
Of course kuna Lumpen wengi pia ambao wao ni kama sacs of potaoes, unawageuza unavyotaka!
Kitendo wanachofanya hakina tofauti na kupiga punyeto tu,
 
Zile zama za kukimbilia Tv kila ifikapo saa 2 kumtazama Mwendazake akiongea kwa sauti ya mamlaka zimekwisha.. huyu hana hata mvuto anaongea km Mama muuza Wanzuki huku akirembua macho km wale wadada wa Kimboka..
Labda wewe ndiye huna mvuto na ujinga wako na kukosa kwako malezi ya wazazi wako.
 
Naona pesa za wauza unga, za waliopewa bandari, na mbuga zetu safari hii zinatumika kusafirisha watu bure kwa mabus, na malory ili kuhadaa umma kuwa bi mkojani anakubalika sana.
Mbona wewe hujasafirishwa? Watu wana hudhulia kwa hiyari ya mioyo yao na upendo wao kwa Rais wetu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.

Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata kidogo. Ni mtu na nusu, Ni mtu wa watu ,ni kipenzi cha watu, ni tumaini la watu, ni furaha ya watu, ni tiba kwa wenye huzuni na Ni Chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe.

Haijawahi kutokea mkoa ukafungwa na kusimama kwa shughuli zote na watu wote kuisha majumbani na kukimbilia uwanjani kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Rais na Mkuu wa Nchi.

Lakini Leo watanzania wameshuhudia watu wakifurika na kumiminika uwanjani hata sisiminzi hawezi kupata nafasi ya kusogeze mguu wake kupata kupita na kusonga mbele. Watu wamejaa utafikiri walivutwa kwa Sumaku. Huwezi ukainua mguu wako na kusogeza pembeni.maana ni mguu kwa mguu na hakuna nafasi ya kujisogeza mwili wako.

Hii yote ni kwa kuwa Rais Samia amegusa Maisha ya watanzania,ameleta matumaini, amewezesha Watanzania kutimiza ndoto zao ,ameleta nuru na tabasamu katika nyuso za watu,ameponya mioyo ya wengi na kuwafuta machozi wengi. Amekuwa mfariji wa watu na mkono wake umemfikia kila mtu na jicho lake ni kama La Tai lenye uwezo wa kuona kila mahali na kumfikia kila mmoja mwenye mahitaji ya kupata Msaada wa Rais.

Amekuwa ni Rais Mwenye usikivu na masikio yake yamesikiliza sauti za kila mtanzania na kila kundi. Kinywa chake kinazungumza yawahusuyo na kuwagusa watu. Amekuwa ni mwenye uchungu na maisha ya watu. Ndio sababu watu wanafurika na kumiminika kumlaki na kumpokea kama Sehemu ya kumuunga mkono na kusema asante mama kwa utumishi wako uliotukuka na tupo tayari kwa utumishi wako kwa muhula wa pili.

Kwa hakika wanadamu tuna mambo na vitu vingi sana vya kumuomba Mungu. Lakini kikubwa ni kuwa kama una hekima na busara za kutosha Basi wewe Omba Mungu akupe kibali na kukustahilisha kwa watu. Rais Samia kwa hakika amepewa kibali cha uongozi na Mungu Mwenyewe. Ameinuliwa kwa ajili ya kuongoza Taifa hili.View attachment 3253029

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utumbo huu naombeni ndizi nikale
 
Back
Top Bottom