Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

Uchawa ungekuwa unasomewa hakika ulistahili kiwango cha PhD
 
Uchawa ungekuwa unasomewa hakika ulistahili kiwango cha PhD
Na sifa kubwa na ya kwanza ya kuwa chawa ni kujitoa ufahamu, ndiyomaana huyu chawa hapa jukwaani wengi wanamuita headless chicken.
 
Unaacha shughut
Unaacha shughuri zako za kuingiza kipato, unaenda kumsikiliza Rais!
Hv bakheresa, anaweza kufunga ofisi aende uwanjani kumsikiliza Rais? Hii ni ishara ya umaskini na ufukara uliozidi kipimo hapo Tanga,
 
Rafiki yangu comrade Lucas hapo ulipo SEMA shishimizi amekosa nafasi ya kuweka mguu.

Nimejikuta naangua kicheko Cha furahaπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Unaacha shughut

Unaacha shughuri zako za kuingiza kipato, unaenda kumsikiliza Rais!
Hv bakheresa, anaweza kufunga ofisi aende uwanjani kumsikiliza Rais? Hii ni ishara ya umaskini na ufukara uliozidi kipimo hapo Tanga,
Rais Samia ndiye ametuwezesha watanzania kujikwamua kiuchumi na kutimiza ndoto zetu.
 
Chadomo watasema wamesombwa na malori 😁😁
 
Hivi lucas sio huyu kama na kufananisha nilikuona mnazi moja
 
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania. Mimi nawaleteeni taarifa na habari za kweli zikiwa bado za motomoto
Tunashukuru mkuu kikubwa mkono uende kinywani,,,,,πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Tuseme kweli unachokisema ni cha kweli...,
And that is a good thing how ?;

Kama anaweza kufunga mkoa watu washindwe kufanya shughuli zao za kila siku, je busara si angefanya kwenye luninga na teknolojia ?

Kuna saa watu wanadhani vitu ambavyo havina tija na ni negative kwamba ndio positive....
 
Mbona Shule zote kuanzia Kabuku zimefungwa na wananchi wanasombwa na Fuso?
 
Kwani wana Tanga wana ongozwa na Tv? Walichagua tv kuwaongoza? Waliombwa kura kupitia Tv? Miradi itakaguliwa kwa Tv? Majibu na majawabu kwa wananchi yatatolewa kwa Tv?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…