Kwahiyo unatakiwa ujipendekeze kwake?Rais Samia ndio Mboni ya Taifa letu.
Naona pesa za wauza unga, za waliopewa bandari, na mbuga zetu safari hii zinatumika kusafirisha watu bure kwa mabus, na malory ili kuhadaa umma kuwa bi mkojani anakubalika sana.
Naona pesa za wauza unga, za waliopewa bandari, na mbuga zetu safari hii zinatumika kusafirisha watu bure kwa mabus, na malory ili kuhadaa umma kuwa bi mkojani anakubalika sana.
Mabus ya Ratco yamefanya sana kazi ya kusomba watu ili kupata nyomi fake.Hiyo nilishuhudia alivyoenda Ruvuma, watu walipelekewa magari wilaya na vijiji vyote ili wakajae Songea mjini. Watumishi, hasa walimu, ilikuwa ni vilio, waliambiwa kuwa ambaye hataenda atatakiwa kujieleza kwanini asifukuzwe kazi kwa kukosa kuhudhuria mkutano wa Samia, wakati walipelekewa usafiri..
Safari yake huko iliongeza chuki kutokana na watu kulazimishwa kuacha kazi zao ili wakahudhurie mkutano ambao hauna faida yoyote kwao.
Bila shaka hata huko Tanga kutakuwa na wengi waliolazimishwa.
Unafanyika uharamia mwingi katika maigizo ya kutaka kuwahadaa watu kuwa anapendwa sana.
Uongo tu ndio kazi mmekalia kwa sasa baada ya kuona namna anavyokubalika na kupendwa na watanzania kuwahi kutokea. Mara ya kwanza mlikuwa mnasema hawezi kupata watu wa kuhudhuria lakini saizi baada ya kuona mafuriko ya watu wakimiminika kwenye mikutano yake mmeanza ngonjera na porojo zingineHiyo nilishuhudia alivyoenda Ruvuma, watu walipelekewa magari wilaya na vijiji vyote ili wakajae Songea mjini. Watumishi, hasa walimu, ilikuwa ni vilio, waliambiwa kuwa ambaye hataenda atatakiwa kujieleza kwanini asifukuzwe kazi kwa kukosa kuhudhuria mkutano wa Samia, wakati walipelekewa usafiri..
Safari yake huko iliongeza chuki kutokana na watu kulazimishwa kuacha kazi zao ili wakahudhurie mkutano ambao hauna faida yoyote kwao.
Bila shaka hata huko Tanga kutakuwa na wengi waliolazimishwa.
Unafanyika uharamia mwingi katika maigizo ya kutaka kuwahadaa watu kuwa anapendwa sana.
You are absolutely right.Naambiwa walimwahidi kuwa watagharamia kampeni yake yote.
Peza yao ya kwanza ilinunua pikipiki zilizosambazwa nchi nzima.
Kwa mara ya kwanza tumempata kiongozi muuza nchi:
Bandari zetu kawauzia waarabu.
Mbuga zetu za wanyama kawauzia waarabu.
Hifadhi zetu za misitu, kawauzia waarabu.
Airport yetu ya KIA kawauzia waarabu.
Lakini machawa punguani, kwa usaliti uliovuka viwango vyote Duniani, wanashangilia wakati kuna uharamia mkubwa unafanywa dhidi ya Taifa lao!!
Rais wa Tanzania hawezi kukosa mafuriko maana yanatengenezwa kwa nguvu za dola.Uongo tu ndio kazi mmekalia kwa sasa baada ya kuona namna anavyokubalika na kupendwa na watanzania kuwahi kutokea. Mara ya kwanza mlikuwa mnasema hawezi kupata watu wa kuhudhuria lakini saizi baada ya kuona mafuriko ya watu wakimiminika kwenye mikutano yake mmeanza ngonjera na porojo zingine View attachment 3254852View attachment 3254853View attachment 3254854View attachment 3254855View attachment 3254855
Uongo tu ndio kazi mmekalia kwa sasa baada ya kuona namna anavyokubalika na kupendwa na watanzania kuwahi kutokea. Mara ya kwanza mlikuwa mnasema hawezi kupata watu wa kuhudhuria lakini saizi baada ya kuona mafuriko ya watu wakimiminika kwenye mikutano yake mmeanza ngonjera na porojo zingine View attachment 3254852View attachment 3254853View attachment 3254854View attachment 3254855View attachment 3254855
Siyo kweli.Rais wa Tanzania hawezi kukosa mafuriko maana yanatengenezwa kwa nguvu za dola.
Watu wanahudhuria kwa hiyari yao wenyewe bila shuruti. Kwani wewe na akili zako Timamu unaweza kusafirishwa kama mfungwa au mateka bila hiyari au ridhaa yako mwenyewe?Unahamgaika kwa kuandika upuuzi!!
Hivi watu kujaa kwenye mkutano wa Rais ambapo watu wanasombwa kwa gharama za Serikali, ni jambo la ajabu?
Ebu niambie, ni Rais gani wa Tanzania ambaye aliwahi kufanya mkutano akakosa watu.
Nikiwa chipukizi, Hayati Mwinyi akiwa Rais, tulisafirishwa na kugharamiwa kila kitu, tena tuliwahishwa siku 5 kabla ya ujio wa Rais. Tulisafirishwa toka wilayani mpaka mkoani, karibia kilometa 290. Kama watu mnasafirishwa kilometa nyingi kiasi hicho, mkutano wa Rais utakosaje watu?
Hata kama mtu una poor reasoning, haitegemewi ushindwi kuelewa hata mambo madogo kama haya.
Ni rahisi zaidi kuwapata watu wachache kwenye mkutano wa Rais anayependwa na raia wake kuliko Rais diktetaanayechukiwa na wananchi wake.
Fuatilia siasa na uongozi wa Stallin, ndiyo utaelewa.
Upumbavu huu utaona kwa mtu mweusi.Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.
Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata kidogo. Ni mtu na nusu, Ni mtu wa watu ,ni kipenzi cha watu, ni tumaini la watu, ni furaha ya watu, ni tiba kwa wenye huzuni na Ni Chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe.
Haijawahi kutokea mkoa ukafungwa na kusimama kwa shughuli zote na watu wote kuisha majumbani na kukimbilia uwanjani kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Rais na Mkuu wa Nchi.
Lakini Leo watanzania wameshuhudia watu wakifurika na kumiminika uwanjani hata sisiminzi hawezi kupata nafasi ya kusogeze mguu wake kupata kupita na kusonga mbele. Watu wamejaa utafikiri walivutwa kwa Sumaku. Huwezi ukainua mguu wako na kusogeza pembeni.maana ni mguu kwa mguu na hakuna nafasi ya kujisogeza mwili wako.
Hii yote ni kwa kuwa Rais Samia amegusa Maisha ya watanzania,ameleta matumaini, amewezesha Watanzania kutimiza ndoto zao ,ameleta nuru na tabasamu katika nyuso za watu,ameponya mioyo ya wengi na kuwafuta machozi wengi. Amekuwa mfariji wa watu na mkono wake umemfikia kila mtu na jicho lake ni kama La Tai lenye uwezo wa kuona kila mahali na kumfikia kila mmoja mwenye mahitaji ya kupata Msaada wa Rais.
Amekuwa ni Rais Mwenye usikivu na masikio yake yamesikiliza sauti za kila mtanzania na kila kundi. Kinywa chake kinazungumza yawahusuyo na kuwagusa watu. Amekuwa ni mwenye uchungu na maisha ya watu. Ndio sababu watu wanafurika na kumiminika kumlaki na kumpokea kama Sehemu ya kumuunga mkono na kusema asante mama kwa utumishi wako uliotukuka na tupo tayari kwa utumishi wako kwa muhula wa pili.
Kwa hakika wanadamu tuna mambo na vitu vingi sana vya kumuomba Mungu. Lakini kikubwa ni kuwa kama una hekima na busara za kutosha Basi wewe Omba Mungu akupe kibali na kukustahilisha kwa watu. Rais Samia kwa hakika amepewa kibali cha uongozi na Mungu Mwenyewe. Ameinuliwa kwa ajili ya kuongoza Taifa hili.View attachment 3253029View attachment 3253121View attachment 3253122View attachment 3253123View attachment 3253125
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa uzoefu wangu. 100% ya watu waliojaa hapo ni watumishi wa serikali tena an daftari la mahudhurio limehamishiwa hapo. 🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,

Sijasema hivi ili ww chawa ukubali, huo ndio uhalisia, aidha chawa unataka ama la.Siyo kweli.
Watumishi wa serikali wapo wangapi mkoa wa Tanga? Na hapo unaona watu wapo kiasi gani? Uwanja wa Mkwakwani Tanga unabeba watu wangapi? Je huoni uwanja umejaa ndani hadi nje na hapo bado wengine wanafuatilia kupitia vyombo vya habari?Kwa uzoefu wangu. 100% ya watu waliojaa hapo ni watumishi wa serikali tena an daftari la mahudhurio limehamishiwa hapo. 🤣🤣
ccmKwani kuna sisiminzi mwenye kulingana na Tembo 🐘
Hiyo nilishuhudia alivyoenda Ruvuma, watu walipelekewa magari wilaya na vijiji vyote ili wakajae Songea mjini. Watumishi, hasa walimu, ilikuwa ni vilio, waliambiwa kuwa ambaye hataenda atatakiwa kujieleza kwanini asifukuzwe kazi kwa kukosa kuhudhuria mkutano wa Samia, wakati walipelekewa usafiri..
Safari yake huko iliongeza chuki kutokana na watu kulazimishwa kuacha kazi zao ili wakahudhurie mkutano ambao hauna faida yoyote kwao.
Bila shaka hata huko Tanga kutakuwa na wengi waliolazimishwa.
Unafanyika uharamia mwingi katika maigizo ya kutaka kuwahadaa watu kuwa anapendwa
Huyu shetani yeye huwa anajiandikia tuSisimizi nao waliomba kikao na Rais