PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema ndio the best you could do kweli?

Ripoti iliyotolewa na Jaji Chande juu ya ukatili wa polisi imefanyiwa nini mpaka leo? Rais Samia unawatanzania Watanzania ambao uvumilivu wao kwenye maumivu umebakia utambi tu halafu unaenda kutia kijiti machoni!

Lakini tume hii imewekwa na majina tu, haina vitu muhimu;
- Je, kazi hiyo inaanza lini?
- Ni yapi majukumu ya kila mmoja katika tume hii?
- Kazi ya tume hii inaisha lini?


La muhimu kabisa KWANINI IMEFICHWA KUWA TAX ALIWAHI KUWA WAZIRI WA ULINZI, ambaye chini yake aliwahi kutoa maagizo ya kipumbavu ili wanchi wafanyiwe ukatili na kuuliwa?

Lakini hapo nyuma iliundwa tume ya haki jinai na ikaja na mapendekezo mazuri tu ambayo yangefanyiwa kazi tusingefika hapa na kushuhudia mauaji mabaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.

Haya ni matokeo ya kuuza matokeo ya tume zote hizo, na wakulaumiwa ni wewe SAMIA.
=====

TAARIFA KWA UMMA​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.

Aidha, Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo na wajumbe walioteuliwa ni wafuatao:-

(i) Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania;

(ii) Balozi Ombeni Yohana Sefue Kiongozi Mstaafu; Mwanadiplomasia na Katibu Mkuu

(iii) Balozi Radhia Msuya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(iv) Balozi Lt. Gen. Paul Meela - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(v) IGP (Mstaafu) Said Ally Mwema Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Mstaafu;

(vi) Balozi David Kapya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; na(vii) Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax Aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,

Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka
KATIBU MKUU KIONGOZI
18 Novemba, 2025​

View attachment 3503744

Tume itasemaje kuwa yeye kachaguliwa na kura fake!!!! ulaji tu hapa
 
Hivi mnajua maana ya tume huru..? Au ndo shuleni mlikuwa mnaenda kucheza.
Umri wote huu bado unadanganywa kwa pipi?!!. Unadanganywa na neno HURU? Hivi hujui tume HURU ndiyo imemtangazia samia ushindi wa kura ml. 31+. Je, ni kweli?. Amka mkuu. Siasa za ulaghai na ujanjaujanja zimefikia TAMATI. Kizazi chenu siyo kizazi hiki.
 
KIKOSI KAZI CHA TUME YA SAMIA :

Kama kawaida JamiiForums jukwaa linalokwenda kwa kina badala ya kumeza taarifa bila kwenda kutazama kwa kina
  1. mapito ya wateuliwa,
  2. Je kama ni watu huru,
  3. Tume walizopata kutumikia na
  4. Je wame declare interest za kibinafsi na mtandao wa mteuzi au la
  5. kisha matunda yake kufanyiwa kazi au kazi yao kutupwa ktk makabati kula vumbi n.k
Lt. General Paul Ignace Meela


View: https://m.youtube.com/watch?v=ZvXgIGL41eM
21 November 2021 The Special Representative of the UN Secretary-General in the Central African Republic, Mankeur Ndiaye, received in audience, on November 9, 2021 at the MINUSCA headquarters in Bangui, the Tanzanian delegation led by Lieutenant General Paul Ignace Mella, Ambassador of Tanzania to the Central African Republic, Congo, Cameroon and Gabon with residence in Kinshasa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=bKrfV_TXbJ8


11 September 2017 Jaji Profesa Ibrahim Juma

View: https://m.youtube.com/watch?v=BS5kkEYoo1Q

The Minister of Justice and Constitutional Affairs, Prof. Palamagamba Kabudi, has described the history of Tanzania's new Chief Justice, Prof. Ibrahim Juma, including his teaching at the University of Dar es Salaam.


18 August 2021
Balozi Radhia Msuya
BALOZI RADHIA MSUYA, MTUNUKIWA NISHANI YA NATIONAL ORDER OF MERIT

View: https://m.youtube.com/watch?v=0JghB1l08ds



IGP MSTAAFU SAID MWEMA
29 October 2023
1763476399632.jpeg

Mjumbe wa Kamati ya Haki Jinai (criminal justice system) IGP Mstaafu Saidi Mwema amesema awamu wanayoiendea ya utekelezaji itatoa suluhisho la kero haki jinai nchini
1763478356725.jpeg

Mstaafu Saidi Mwema picha maktaba
Saidi-Ally-Mwema--285x285.jpg


Saidi Ally Mwema​

Inspector General (retired), Tanzanian Police, Dar es Salaam, Tanzania

Saidi Ally Mwema is the Inspector General of Police in Tanzania. He has had a long and distinguished career in the police, starting as Assistant Inspector and later Inspector of Police dealing with Fraud Investigation and Prosecution in Dar es Salaam and Arusha. In 1982 he became an Assistant Superintendent and was seconded to the Bank of Tanzania, Foreign Exchange Directorate where he worked as Assistant Manager, Investigation Department, dealing with Fraud and Foreign Exchange violations. Between 1992 and 1996 he held several senior positions in different regions of Tanzania, focusing on police management and criminal investigations. In 1996 he was appointed Assistant Commissioner of Police and Regional Crime Officer (RCO) for the Dar es Salaam Region and in 2001 as Senior Assistant Commissioner of Police and Regional Commander (RPC) Mbeya Region. Between 2004 and 2006 he served as Head of the Sub-Regional Bureau of Interpol in Nairobi, Kenyas, and since March 2006 he holds the post of Inspector General of Police Tanzania. During his career Mr. Mwema has attended many courses, including a a three-week Counterfeit Currency Notes course in Johannesburg, South Africa (1997), a Hostage Negotiation course in Louisiana USA (1999), a Money Laundering Course by the United Nations, Asia and Far East Institute for the Prevention of Crime and the Treatment of Offenders (UNAFEI), Tokyo, Japan (2001), and an Advanced Management course, International Law Enforcement Academy, Roswell New Mexico, USA (2002). Mr. Mwema obtained a Bachelors of Law Degree (Hons) from the University of Dar es Salaam in 1988



17 November 2025
Dar es Salaam, Tanzania

SAMIA HASSAN DROPS TWO KEY SECRETARY OF STATES FROM HER NEW CABINET, THEY WERE RESPONSIBLE FOR DEFENCE AND INTERNAL AFFAIRS

1763476756215.jpeg

Ministers from docets blamed for the killing of hundreds of protesters in Tanzania that occurred from October 29 to November 3, 2025, have been left out of the new cabinet announced by H.E President Samia Suluhu Hassan

Stergomena Tax, former Minister of Defense and Innocent Bashangwa, Minister of Interior responsible for the Police, Immigration, Prisons

What message does this send to the wider public, is it the two are held accountable after their security and defense institutions under their watch are accused of committing massacre in several towns across Tanzania ?

Which other top brass within the Tanzania Peoples Defence Force TPDF and the Tanzania Police Force will be held accountable for what happened between 29 October 2025 and 3 November 2025, causing the peaceful history of Tanzania's to be rewritten ?
Dr. Stergomena Tax the Minister of Defence and National Service, the first woman to hold the title since the country’s independence. She was nominated as a Member of Parliament by President Samia Suluhu Hassan in 2021. She served as the Permanent Secretary at the Ministry of East African Cooperation when she was appointed as the Executive Secretary of the Southern African Development Community (SADC). As the 1st female SADC Executive Secretary, she successfully led the revision of SADC Regional Integration Strategic Development Plan, SADC Industrialization Strategy and Road Map 2015-2063; and SADC conflict resolution and mediation processes



05 September 2025
Amb. David Kapya

Interview with Tanzania outstanding Diplomat​


View: https://m.youtube.com/watch?v=GpkfF-L0g5M

Ambassador David Kapya is a Tanzanian diplomat with a long and distinguished career, particularly known for his work in peace negotiations and conflict resolution in Africa.Key highlights of his career include:
  • Early Career: He joined the Tanzanian foreign office in 1972 after graduating from the University of Dar es Salaam. His first diplomatic posting was at the embassy in Addis Ababa.
  • Special Assistant to President Benjamin Mkapa: Ambassador Kapya served as a special assistant and envoy to the late President Benjamin Mkapa of Tanzania. In this role, he was a key figure in regional peace processes, including the Burundi talks and peace negotiations in the Democratic Republic of Congo (DRC).
  • Conflict Resolution and Peacebuilding: He has been a prominent figure in various mediation and dialogue efforts across the African continent. This includes his involvement with the Crisis Management Initiative (CMI), a non-governmental organization founded by Nobel Peace Laureate Martti Ahtisaari, where he served as a Senior Adviser. He has also been involved with The Carter Center's Conflict Resolution Program, where he co-chaired the Sudan-South Sudan Dialogue Group.
  • Focus on African Diplomacy: Ambassador Kapya's work has consistently focused on strengthening African capacities to foster peace and supporting the African Peace and Security Architecture. He has been a strong advocate for cooperation among African nations to resolve their own conflicts.

View: https://m.youtube.com/watch?v=VenLsvZUsfI
Throughout his career, Ambassador David Kapya has demonstrated a deep commitment to resolving conflicts and promoting stability in Africa, leveraging his extensive diplomatic experience and deep understanding of the region's complex dynamics

2015 24 January
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Ataadhalisha
Umma Kuhusu Matapeli wanaotumia Jina la Ikulu au majina ya Viongozi Kujinufaisha


View: https://m.youtube.com/watch?v=0V-tsRe3uec
 
Huyu mama bado anazidi kuua uchumi wetu na watu wetu Kwa mission impossible,inabidi akabiliwe vikali sana.

Tuache kucheka na huyu mama,tume gani ambayo itatoaa majinu ya kuponya nyoyo za watanganyika ikiwakila kitu kimejaa uchawa
Wanautumia ule mfumo na utaratibu wa Tutawasahaulisha Watasahau.... sasa watu wamegoma kusahau na wamekataa kusahaulishwa
 
Namuona mzee wangu hapo luten general anaende kufanya kazi yenye lawama nyingi!
Kwa vile mchaga atakuwa na msimamo
.
 
Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema ndio the best you could do kweli?

Ripoti iliyotolewa na Jaji Chande juu ya ukatili wa polisi imefanyiwa nini mpaka leo? Rais Samia unawatanzania Watanzania ambao uvumilivu wao kwenye maumivu umebakia utambi tu halafu unaenda kutia kijiti machoni!

Lakini tume hii imewekwa na majina tu, haina vitu muhimu;
- Je, kazi hiyo inaanza lini?
- Ni yapi majukumu ya kila mmoja katika tume hii?
- Kazi ya tume hii inaisha lini?


La muhimu kabisa KWANINI IMEFICHWA KUWA TAX ALIWAHI KUWA WAZIRI WA ULINZI, ambaye chini yake aliwahi kutoa maagizo ya kipumbavu ili wanchi wafanyiwe ukatili na kuuliwa?

Lakini hapo nyuma iliundwa tume ya haki jinai na ikaja na mapendekezo mazuri tu ambayo yangefanyiwa kazi tusingefika hapa na kushuhudia mauaji mabaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.

Haya ni matokeo ya kuuza matokeo ya tume zote hizo, na wakulaumiwa ni wewe SAMIA.
=====

TAARIFA KWA UMMA​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.

Aidha, Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo na wajumbe walioteuliwa ni wafuatao:-

(i) Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania;

(ii) Balozi Ombeni Yohana Sefue Kiongozi Mstaafu; Mwanadiplomasia na Katibu Mkuu

(iii) Balozi Radhia Msuya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(iv) Balozi Lt. Gen. Paul Meela - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(v) IGP (Mstaafu) Said Ally Mwema Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Mstaafu;

(vi) Balozi David Kapya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; na(vii) Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax Aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,

Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka
KATIBU MKUU KIONGOZI
18 Novemba, 2025​

View attachment 3503744
Huyu mama ni mpumbavu kmmk.
 
Muuaji anajiundia tume kujichunguza alivyoua?Tutegemee majibu ya kumlinda muuaji.Nimepata hasira kabisa Hadi natamani 9de iwe Sasa hivi kiamze kunuka ili kuwa na mabadiliko ya kweli
 
Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema ndio the best you could do kweli?

Ripoti iliyotolewa na Jaji Chande juu ya ukatili wa polisi imefanyiwa nini mpaka leo? Rais Samia unawatanzania Watanzania ambao uvumilivu wao kwenye maumivu umebakia utambi tu halafu unaenda kutia kijiti machoni!

Lakini tume hii imewekwa na majina tu, haina vitu muhimu;
- Je, kazi hiyo inaanza lini?
- Ni yapi majukumu ya kila mmoja katika tume hii?
- Kazi ya tume hii inaisha lini?


La muhimu kabisa KWANINI IMEFICHWA KUWA TAX ALIWAHI KUWA WAZIRI WA ULINZI, ambaye chini yake aliwahi kutoa maagizo ya kipumbavu ili wanchi wafanyiwe ukatili na kuuliwa?

Lakini hapo nyuma iliundwa tume ya haki jinai na ikaja na mapendekezo mazuri tu ambayo yangefanyiwa kazi tusingefika hapa na kushuhudia mauaji mabaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.

Hii ripoti kuna ulichotekeleza Samia - Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

Haya ni matokeo ya kuuza matokeo ya tume zote hizo, na wakulaumiwa ni wewe SAMIA.
=====

TAARIFA KWA UMMA​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.

Aidha, Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo na wajumbe walioteuliwa ni wafuatao:-

(i) Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania;

(ii) Balozi Ombeni Yohana Sefue Kiongozi Mstaafu; Mwanadiplomasia na Katibu Mkuu

(iii) Balozi Radhia Msuya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(iv) Balozi Lt. Gen. Paul Meela - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(v) IGP (Mstaafu) Said Ally Mwema Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Mstaafu;

(vi) Balozi David Kapya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; na(vii) Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax Aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,

Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka
KATIBU MKUU KIONGOZI
18 Novemba, 2025​

View attachment 3503744
Pumbafu kabisa
 
Back
Top Bottom