papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 503
Kwa hiyo alivyoletewa tu akamwaga wino bila kijiridhisha hadi wanajamii forums wamepiga kelele ndo kastuka!?
Sasa bada mifuko ya kijamii kwani watu wanaodai mafao yao wanaonekana watumwa michango yao .
Panga pangua, labda huyu anajua kula na vigogo wenzake. I canβt believe kila siku tunaapishana what a joke! Panga pangua wakati wa maombolezo huo ni uafrika kweli? She was part of the leadership, so she never okd JPMs appointments? They couldnβt wait 21 days???
Kaspeed ni kama kamekua kakali si eti?Mama awe makini naye
Hahahahah unyoya wa Kunguru sioπΉπΉπΉπΉπΉ aisee nimecheka sanaKijana CV yake ilikuwa nyepesi ka unyoya wa kunguru, I think mama alichomekewa, uzuri mama ni msikivu na mwelewa
Yaelekea jina limechomekwa. Utagundua pia lipo hapo chini kwa vile kiongozi asipokuwa makini ataweka saini yake akijua kila kitu kipo sahihi kumbe ndio kabambikizwa bomu.Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikubwa kwake...
Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...
Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko na kimajungu zaidi..
Hawa watu wa Mifuko ile wanajiona Sana. Pesa yetu utadhani tunaomba mikopo wakati ni haki yetu. Njoo kesho hadi sasa imefikis miaka minne watu wanasotea malipo yao. Fikiria mstaafu anayetoka Kagera kwenda Dodoma kufuatilia malipo halafu anaambiwa arudi mwezi ujao, hii ni haki kweli?Sasa bada mifuko ya kijamii kwani watu wanaodai mafao yao wanaonekana watumwa michango yao .
Wakati ni haki yao
Hii inaonyesha Rais wetu si mtoa maamuzi,kuna mtu yuko nyuma ya pazia anapanga na kumwambia afanye,sasa mama akienda kulala na first gentlemen akigombezwa akiambiwa amechemka,Akiamka asubuhi kesho yake chakwanza ndio Kutengua kama alivyofanya hapo sasa.
huyu alierudishwa ndio selection ya mama,ila yule aliewekwa alikua kapangwa na wapangaji,Nchi sasa ina marais wawili (seen & unseen) kisha ndio VP.
kwasasa huku mtaani kwangu watu wana imani na VICE PRESIDENT kwa 90% ila imani kwa MAMA ipo 41% tu,kulingana na mtaa wangu.
Mkuu Lusungo nimeamini Tanzania kila kitu kinawezekana. Umeona elimu na CV ya huyu ''muungwana'' aliyeteuliwa na kutumbuliwa? Alipitapitaje ngazi ya uteuzi? Naamini kuna viongozi ambao uwezo wao ni mdogo sana sana. Haya mambo rais Samia akitaka yakome inahitajika katiba mpya haraka iwezekanavyo. Nafasi za uteuzi kama hizi zipitishwe na Bunge kwa kushindanisha watu wenye sifa. Lakini kwanza....... Bunge lenyewe lipatikane kwa demokrasia na utaalam ili wabunge wawe watu wenye uwezo kichwani. Bunge likiachwa liwe la akina Jah People na Babu Tale bado hata majina yakienda bungeni haitasaidia. Halafu ni muhimu sana ''system'' i-encourage bunge liwe na mchanganyika wa vyama. Hili la kufosi wabunge watoke chama kimoja linaturudisha nyuma.Hahahaha mkuu Ritz heshima yako.
πππππππππππππππAsante kwa taarifa,namshauri Mh SSH atulie kwanza maana anavyofanya anaweza akajitengua hadi yeye.
Mkuu umenikumbusha Mzee wa Pwani aliwahi kusema" Kipindi cha baridi ndege hunyonyoa manyoya yake ili kuwafunika kinda wake kwenye kiota. Lakini ndege yule asipokuwa makini anaweza kujinyonyoa sana hadi akashindwa kuruka kwenda kutafuta chakula chake na kinda wake. Akafa yeye na kinda wake kwa njaa".Asante kwa taarifa,namshauri Mh SSH atulie kwanza maana anavyofanya anaweza akajitengua hadi yeye.
[emoji3][emoji3][emoji3] Ile CV ilikuwa nyeupe ka unyoya wa kunguru aisee, Mara degree chuo Cha Yohana, hata huko udom, itakuwa alibebwa tu. Aliyefanya uhuni kupenyeza Hilo jina kumharibia Raisi afukuzwe aisee
Huyo ni pimbi tu kwani anataka kutuaminisha tangu azaliwe hajawahi kuona mwanaume kakosea. Yani anaemkosoa mtu kwa jinsi yake huwa namuona mshamba tu.Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Hongera Rosemarie kwa kuthibitisha hilo.
Mwanamke kiumbe dhaifu peke yako usiejiamini usijumuishe wote.
Nikupe mfano tu: Ellen Johnson Sirleaf, Mwele Malecela, Msuya wa UNEP...
Suti ya Kihaya kwa bei ya Kihaya!Dah hii dunia, Mwesiga usiku alienda kwa fundi kushona suti ya kuapishwa nayo kwa bei ya express na kalipa keshi.
Panga pangua, labda huyu anajua kula na vigogo wenzake. I canβt believe kila siku tunaapishana what a joke! Panga pangua wakati wa maombolezo huo ni uafrika kweli? She was part of the leadership, so she never okd JPMs appointments? They couldnβt wait 21 days???