Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa mkuu wa shirika la maendeleo ya petrol( TPDC), Bw Thobia Mwesiga Richard leo tarehe 5, April 2021.

Bw Thobias Mwegisa Richard aliteuliwa jana na ilitarajiwa ale kiapo kesho April 6, saa nne asubuhi.
View attachment 1743925View attachment 1743924
Huu uteuzi umevunja rekodi ya dunia
 
Huyu rais nae ashaanza kuwa kiazi.Nchi ina wasomi wangap?
 
Hapa ni 2019
IMG-20210405-WA0015.jpg
 
Mkurugenzi mwenye bahati ya kutumbuliwa na kurudishwa kazini
IMG-20210405-WA0020.jpg
 
We naye!!

Unafikiri Rais ni mungu? Anashauriw ni kitu cha kawaida na hii inathibitisha ubinadamu, ndio maana kagundua amekosea kasikiliza critics za umma na kufuatilia kwa kina CV ili kujiridhisha!!

Hata Magufuli licha ya kujipambanua kuwa mtu makini washauri wake walikuwa wanamuingiza chaka.

Tumshukuru anafuatilia home of great thinkers where we dare to talk openly!!
Anapitia jamhuri ya Twitter pia
 
Yaani Tumevurugwa! halafu hamna watu walinistaajabisha kama Maaskofu, JPM alikuwa anajua kuwaweka mtegoni baada ya corona kuingia akaitisha Maombi halafu ghafla akakatisha kutangaza maambukizi halafu akadai Maombi yameponya hamna alimpinga! Baada ya Makasisi na Masista kuanza kuputika huko waliko wakanza kulia nyau wakati kipindi JPM anasema maombi yameponya walim-support! Na tena wale wabishi waliwanyang'anya passort zao!
Nchi hii hatuna viingozi wa dini tuna wachumia tumbo mpaka liwakute ndio wanatoa tamko, kwahyo hao makasisi wasigendanja wangesema hamna Corona
 
Kwenye kibao motomoto cha Reggae strong-Lucky Dube unaambiwa Reggae's everywhere.

Mama anacheza tu reggae kwenye hizi teuzi wala hazina tija yoyote zaidi ya yeye ku-exercise mamlaka yake.

Tuwe tunaambiwa na sababu za mtu huyohuyo mmoja kutolewa point F na kupelekwa J.

Kama KM ka-underperform wizara G,kuna muujiza gani atafanya huko wizara H anayohamishiwa?

Ushauri:Aendelee na wateule wote wa mtangulizi wake kama walivyo tu bila hizi sub za ajabuajabu.

Huku kwa DEDs,RAS,DCs and RCs atatuletea mpaka vichaa kwa staili hii.
hizo information za why mtu fulani kaondolewa why mwingine karudishwa ziko kwa mamlaka zinazofanya vetting. ikiwamo TISS.
sasa kama unazitaka zipo, ila una guts za kwenda kuulizia?
 
Back
Top Bottom