Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Tusipo kuwa macho tutarudi enzi za kiongozi unaletewa tu mkataba na wasaidizi wako wewe kazi yako ni kumwaga wino tu !

Daah !
 
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikubwa kwake...

Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...

Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko na kimajungu zaidi..
Kwa sababu ya tukio hili? Sidhan kama hii ni hoja ya maana kwa sababu hata huko nyuma ilishawahi kutokea.
 
CV yake iko wapi mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.

Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama ifuatavyo:-

ELIMU:-

· Masters in Business Development (MBA), Chuo Kikuu cha Charlotte, North Caroline, Marekani (2008)

· PhD (Geochemistry, Mineralogy, Structural Geology and Petroleum Geology), Chuo Kikuu cha Missouri – Rolla, Missouri, Marekani (2005)

· MSc (Geochemistry and Petrology), Chuo Kikuu cha Okinawa, Japan (1997)

· BSc(Hons) (Geology), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1994

UZOEFU WA KAZI:-

· Mwaka 2004 – hadi sasa, Senior Geoscientist, Bell Geospace Inc, Houston, Texas, USA

· 2001 – 2004, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Missouri, wakati akisoma Shahada ya Uzamivu

· 2000 – 2001, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

· 1999 – 2000, Meneja Mradi, Anglo Gold (Buzwagi)

· 1994 – 1999 -, Exploration Geologist, Anglo America Corporation.

Miongoni mwa makampuni makubwa ya kimataifa ya mafuta na gesi aliyofanya nayo kazi kwa niaba ya mwajiri wake Bell Geospace ni pamoja na Petrobras (Brazil); BP; Anadarko; Tullow; Pemex (Mexico); ANP (Brazil), Ecopetrol (Colombia); Petronas, (Malaysia) na Vale Rio Doce.

Aidha, Dkt. James P. MATARAGIO ni mmoja wa wataalam wa sekta ya madini, mafuta na gesi asilia waishio Marekani (Diaspora) ambao walijitolea kuishauri Serikali kuhusu sekta hiyo bila malipo.

Kwa kuzingatia elimu yake, uzoefu wake na uzalendo wake, Rais ana matumiani makubwa kuwa Dkt. James P. MATARAGIO ataleta nguvu mpya na uzoefu mkubwa wa kimataifa katika kuiongoza TPDC ili iwe kampuni kubwa ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia kama yalivyo makampuni mengine ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia duniani.
 
Aliteuliwa na JK enzi ya ombeni sefue kuwa DG wa TPDC, na walimtoa marekani alikuwa anafanyia kazi

Mfumo dumo upo kuna watu wanamchukia kwa vile tu ya Jinsia! Inasikitisha kwa kweli yaani akikosea asirekebishe sio?
Jamii yetu ina Safari ndefu Sana, eti hyo mistakes tayari hawana Imani naye, in short watanzania hawana jema bora jiwe alikuwa anawapeleka mpera mpera.
 
Anatakiwa awatengue fasta hao watu tena aiweke public kuwa katwngua watu fulani kwa kumpotosha ili wanaokuja chukuabhiyo nafasi wajue wanapewa kazi gani...
Ni watu gani hawa by the way?
Kuna kitengo pale TISS cha kufanya kazi hiyo
 
Jamii yetu ina Safari ndefu Sana, eti hyo mistakes tayari hawana Imani naye, in short watanzania hawana jema bora jiwe alikuwa anawapeleka mpera mpera.
Si unaona wakina Nape, Kigwangalla wanapumua sahii kutoa utopolo wao kwenye media! Kipindi cha Jiwe, Thubutu...!
 
Yani ile cv ikanifanya nione hata mimi naweza kuwa mkurugenzi wa shirika kubwa cv imeungwa ungwa Kwa plasta mpaka huruma
[emoji3][emoji3][emoji3] Ile CV ilikuwa nyeupe ka unyoya wa kunguru aisee, Mara degree chuo Cha Yohana, hata huko udom, itakuwa alibebwa tu. Aliyefanya uhuni kupenyeza Hilo jina kumharibia Raisi afukuzwe aisee
 
Mama kwani umri wake ni sawa na wa raisi wa awamu ya pili mzee Mwinyi ? Mbona anajisahau sana??
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Ile CV ilikuwa nyeupe ka unyoya wa kunguru aisee, Mara degree chuo Cha Yohana, hata huko udom, itakuwa alibebwa tu. Aliyefanya uhuni kupenyeza Hilo jina kumharibia Raisi afukuzwe aisee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.

Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama ifuatavyo:-

ELIMU:-

· Masters in Business Development (MBA), Chuo Kikuu cha Charlotte, North Caroline, Marekani (2008)

· PhD (Geochemistry, Mineralogy, Structural Geology and Petroleum Geology), Chuo Kikuu cha Missouri – Rolla, Missouri, Marekani (2005)

· MSc (Geochemistry and Petrology), Chuo Kikuu cha Okinawa, Japan (1997)

· BSc(Hons) (Geology), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1994

UZOEFU WA KAZI:-

· Mwaka 2004 – hadi sasa, Senior Geoscientist, Bell Geospace Inc, Houston, Texas, USA

· 2001 – 2004, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Missouri, wakati akisoma Shahada ya Uzamivu

· 2000 – 2001, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

· 1999 – 2000, Meneja Mradi, Anglo Gold (Buzwagi)

· 1994 – 1999 -, Exploration Geologist, Anglo America Corporation.

Miongoni mwa makampuni makubwa ya kimataifa ya mafuta na gesi aliyofanya nayo kazi kwa niaba ya mwajiri wake Bell Geospace ni pamoja na Petrobras (Brazil); BP; Anadarko; Tullow; Pemex (Mexico); ANP (Brazil), Ecopetrol (Colombia); Petronas, (Malaysia) na Vale Rio Doce.

Aidha, Dkt. James P. MATARAGIO ni mmoja wa wataalam wa sekta ya madini, mafuta na gesi asilia waishio Marekani (Diaspora) ambao walijitolea kuishauri Serikali kuhusu sekta hiyo bila malipo.

Kwa kuzingatia elimu yake, uzoefu wake na uzalendo wake, Rais ana matumiani makubwa kuwa Dkt. James P. MATARAGIO ataleta nguvu mpya na uzoefu mkubwa wa kimataifa katika kuiongoza TPDC ili iwe kampuni kubwa ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia kama yalivyo makampuni mengine ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia duniani.
 
hauwezi ukawajua watu wote maana majukumu ni mengi mkuu.....hata hao washauri hawawezi wajua watu wote......amepata taarifa isiyo sahihi na ameitafiti na kuibadilisha
Na kubalina na wewe...majukumu ni mengi sana

Watu wanadhani ni kazi ya kitoto
 
Back
Top Bottom