Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
Chizi ilo lipuuze tu kaka anguTwambie kwako raisi wa maana niyupi, tumchague atuongoze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi ilo lipuuze tu kaka anguTwambie kwako raisi wa maana niyupi, tumchague atuongoze.
Ukweli mtupu. Anahitaji watu makini kumshauri.Rais Samia ni msikivu ila kuna watu wanamwingiza chaka
Ni kweli, inaonekana mfumo umeoza kabisa. Ila na yeye asome mwenyewe hizo CV na kujiridhisha kabla ya kutangaza hizo teuzi. Maana watu wakiona hapitii CV yeye mwenyewe; watamchomekea tu watu wao.Ila sasa ina maana mfumo wetu wa vetting umeoza kiasi hiki ???
Hili linaogopesha sana, sana na linanifanya niwaze mengi.
OKW BOBAN SUNZU ni wa kupuuza tu,Magufuli alishafanya hivyo si mara moja!! Let mama be!!
kwa hiyo anajifunza urais,au sio? atanyooshwa sana mtu wenu huyo bahati mbaya kuna wahuni kibao wanamtegea tu miba
Mataragio ni wa JK.duuh ushakuwa mtoto
Mataragio ni wa nani??
ashakufa japo alikuumiza, pole sana
He is gone, pambana na hali yako na familia yako
Hakuna jipya, kama alikata mirija ishaondoka pia,
You there? Nimefurahi kuona comment yako.Una uhakika gani kama comments za raia ndo zimemfanya atengue tena???
Asante kwa taarifa,Namshauri Mh SSH atulie kwanza maana anavyofanya anaweza akajitengua hadi yeye.
Alikuwa ameshaenda kwa Martin Kadinda kuchukua suti yaani hana bahatiEeeh...Jamaaa alietenguliwa alishapigia hesabu Mshahara,marupurupu,majumba atakayomililiki...
Pongezi kutoka kwa ndugu jamaa...marafiki...nk
Sio mchezooo [emoji119]
ndo nenda kaufufue mzoga wake ujaze upepo ukawaongoze we na familia yakonazungumzia kuwajua!sizungumzii uwezo wao. Magufuli hawezi kumpa mtu idara vyeti bila kumjua hata kama atakuwa hovyo lakini anamjua ni hovyo
Hata hiyo team inayomshauri ,mama aiangalie vizuri , kuna uwezekano wanamhujumu aingie chaka.Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Hizi sifa rukuki kwa jambo dogo lifanywalo na viongozi wetu linawaharibu. Wa Tz mmepatwa na kirusi gani hiki?Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya sita ya JMT ,Rais wetu mpendwa mama Samiah amekuwa anafanya teuzi mbali mbali kwa ajili ya kuoboresha utendaji ndani ya taasisi za serikali .Kwa muktadha huo,jana alifanya teuzi za baadhi ya watendaji na leo hii ametengu teuzi moja wapo baada ya kugundua kuwa mteule ambae ndie alikuwa awe Mkurugenzi mtendaji hana sifa wala vigezo vya kuwa Mkurugenzi wa shirika nyeti na kubwa kama TPDC.Mheshimiwa Rais anastahili pongezi kwa kusikiliza kilio cha Watanzania wengi kwa kutengua uteuzi wa Bwan Thomas Mwesiga .Usikivu wako uliosababisaha kufanya maamuzi sahihi ni kwa haraka ni kielelezo ya kuwa nchi yetu inae Jemedari mkuu anaesikiliza pia wasiokuwa na maamuzi ambao silaha yao kuu ni mitandao ya kijamii,Hongera mnoo Rais wetu Mama Samiah (Mama wa nguvu )
Zaidi ya tisa?????Tuko naye miaka zaidi ya tisa mbele ya safari yake. Marekebisho mazuri tu atafanya ila kwa nafasi yake na kwa kupumua. Wamwache apumue kidogo, mwishowe watamkosesha. Mama yuko makini na ana nia njema sana tangu allipokuwa ni VP
Aliteuliwa na JK enzi ya ombeni sefue kuwa DG wa TPDC, na walimtoa marekani alikuwa anafanyia kaziKwani akiwepo kazini anafanya kazi za JK au anafanya kazi za Serikali kwa miongozo iliyowekwa?
waajabu hao jamaa wamezoea takwimu za kupikwa na bla bla nyingi..... Mama is the best na anajitahidi kuwa fair na kuendesha office katika njia sahihi, akisema ateue watu anaowajua wataanza sema oooh anapendelea watu wake.Uko sahihi nashangaa watu kushupalia ujinga, mama noticed mistakes na aka change haraka yet watu wanakomaa nalo, na hamna binadamu asiyeingia chaka
Kuna mahali labda Kitengo Cha vetting na huyo boss wa TPDC walikwaruzana wakaamua kumuondoa kwenye hizo teuzi huwa zinatokeaga huwezi jua.We naye!!
Unafikiri Rais ni mungu? Anashauriw ni kitu cha kawaida na hii inathibitisha ubinadamu, ndio maana kagundua amekosea kasikiliza critics za umma na kufuatilia kwa kina CV ili kujiridhisha!!
Hata Magufuli licha ya kujipambanua kuwa mtu makini washauri wake walikuwa wanamuingiza chaka.
Tumshukuru anafuatilia home of great thinkers where we dare to talk openly!!
IndeedWhen your Heart is Pure and True, God has a way of making sure everything works out in your favor
Aso mtu ana Mungu
Asiyekuwa na bahati ni huyo ambae alikuwa achukue nafasi yake. Aliacha kazi yake nzuri kuja kutumikia taifa lake. Lakini alipelekwa Mahakamani kwa kuambiwa ametumia madaraka yake vibaya. Mahakama ikayatupilia mbali. Mkuu akaamuru arudishwe TPDC. Sasa imekuja hii ya kuondolewa hadharani ili kumpisha kijana ambae kwa vyovyote hastahili hii nafasi. Natumaini watamuomba msamaha kwa kumdhalilisha.Daah jamaa hana bahati