Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya sita ya JMT ,Rais wetu mpendwa mama Samiah amekuwa anafanya teuzi mbali mbali kwa ajili ya kuoboresha utendaji ndani ya taasisi za serikali .Kwa muktadha huo,jana alifanya teuzi za baadhi ya watendaji na leo hii ametengu teuzi moja wapo baada ya kugundua kuwa mteule ambae ndie alikuwa awe Mkurugenzi mtendaji hana sifa wala vigezo vya kuwa Mkurugenzi wa shirika nyeti na kubwa kama TPDC.Mheshimiwa Rais anastahili pongezi kwa kusikiliza kilio cha Watanzania wengi kwa kutengua uteuzi wa Bwan Thomas Mwesiga .Usikivu wako uliosababisaha kufanya maamuzi sahihi ni kwa haraka ni kielelezo ya kuwa nchi yetu inae Jemedari mkuu anaesikiliza pia wasiokuwa na maamuzi ambao silaha yao kuu ni mitandao ya kijamii,Hongera mnoo Rais wetu Mama Samiah (Mama wa nguvu )