Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
hauwezi ukawajua watu wote maana majukumu ni mengi mkuu.....hata hao washauri hawawezi wajua watu wote......amepata taarifa isiyo sahihi na ameitafiti na kuibadilishaKwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?