Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

hata Kigogo kasema huyu alikuwa DSO , kada wa CCM sasa haya mambo ta TPDC wapi nawapi? Samia analetwa mezani bila yeye kufanya personal scrutiny... kuna hatari mbele iakuja.. tena kubwa
Hii inatupa picha tuna kiongoz wa namna gani
 
MATAGA ni kama mmechanganyikiwa, baada ya kada Mwesiga kuteuliwa mlimtetea sana na mapovu juu leo katenguliwa mnapongeza tena.
Nani alimtetea🙄🙄🙄
 
huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu??????huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
[emoji23][emoji23] Tulieni,mtamkumbuka jiwe
 
View attachment 1743826

Zaidi soma:

Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
huyu jamaa ana mungu wake kila kesi anatoka salama na safiiiii kama almasi
 
Pamoja na kukariri kwake lkn kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika ilikua ni shughuli pevu kwake.

Alikua anajua tu Boiling point of Copper and catalyst..
Kwa uelewa wako ni bora Raisi ajue kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika kuliko kujua CV za wateule wake

Huoni Raisi amejionyesha hajui anachokifanya anakurupuka
 
Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Magufuli alimteua mkurugenzi nsssf leo kesho akamtoa?? Hakuona hilo kama dhaifu, au kwasababu ni mwanamke??? Acheni mambo yenu teuzi ni nyingi na ni binadamu! Na kama ana uwezo wa ku rectify kuna shida gani??? Ni mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kazi
 
Nimeamini mama anasoma sana mitandaoni na hasa jf, nakumbuka jana kulikuwa na mjadala kumuhusu huyu jamaa cv yake ilikuwa inatia mashaka
 
Duuu hii habari mpya kabisa haijawahi kutokea miaka yote mitano ya Magufuli.
Ilishawahi kutokea hayati aliteua naibu waziri aliye shindwa kuapa na wiki iliyo fuata akateua mpyaaaa

Yaan disco ni lilelile ila dj tu ndio mpyaa
 
Back
Top Bottom