Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Huyu sidhani hata kama anaweza ku memorize cv za wateule wake na kuzisema wakati wakuwaapisha kama alivyokua anafanya jiwe
Wanao cremishaga ma vitu mengi kichwani wengi huwa wana matatizo ya akili wewe na huwa wako chini ya kumeza madawa oooh
 
GOD IS GREAT, GOD IS THE GREATEST...
Mkuu Kuna Mzee mmoja yuko Serikali aliniambia Mama yetu ana watu wabaya nyuma wanaomshaurI akaniambia ikiwemo msoga nikamkatalia akaniambia sawa subiri utaona

Sasa napata mashaka yamkini ni kweli Mama anawashauri wabaya wanao angalia maslahi yao, Kwenye hili mama ametonywa umezingua ndio akatengua lakini walishampeleka Chaka.

GOD IS THE GREATEST NIMEFARIJIKA
 
JF walikoosea sana kuunganisha ule uzi kwani hili lilikuwa ni jambo sensitive sana la kujadiliwa kwenye uzi wa kujitegemea
Kuna wakat huwa nawaza hata moderators tulionao hata Maxence Melo naye hakufanya vetting ya kutosha Kuna nyuz nzuri za kushaut taifa lisonge mbele wao wanatia ndani ya comments

# NDUGULILE OUT
 
hata Kigogo kasema huyu alikuwa DSO , kada wa CCM sasa haya mambo ta TPDC wapi nawapi? Samia analetwa mezani bila yeye kufanya personal scrutiny... kuna hatari mbele iakuja.. tena kubwa
Tatizo wanaompelekea majina ni UVCCM,idara ya usalama imejaa UVCCM vijana wasio na weledi wenye kulinda maslahi yao kwa manufaa yao,walizoea kubebana na wanaendelea kubebana
 
Jamaa kawa boss kwa usiku mmoja[emoji1787] waliopeleka jina nao washanyolewa bila maji[emoji2163][emoji2162]

Binafsi bado nampongeza Rais SSH kwa maamuzi ya haraka na sahihi kutengua huo uteuzi
Raisi wetu ni msikivu baada ya kujua Kuna mistake akarekebisha haraka, hyo huwa ni kupitiwa tu kikazi.
Ila huyo mwesiga kwa CV yake yeye aliona muujiza
 
Huyu sidhani hata kama anaweza ku memorize cv za wateule wake na kuzisema wakati wakuwaapisha kama alivyokua anafanya jiwe
Watu hawafanani kila kitu mkuu.
Huyu ni SSH yule ni JPM.... wanaweza kufanana kwenye kutumbua lakini wasifanane kwenye kuongea
Tunachotaka ni matokeo
 
Huyu sidhani hata kama anaweza ku memorize cv za wateule wake na kuzisema wakati wakuwaapisha kama alivyokua anafanya jiwe
Pamoja na kukariri kwake lkn kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika ilikua ni shughuli pevu kwake.

Alikua anajua tu Boiling point of Copper and catalyst..
 
Na wanaompiga vita ni wa nje ya tpdc
Wana jambo lao hao
Tena jambo ovu
MATAGA ni kama mmechanganyikiwa, baada ya kada Mwesiga kuteuliwa mlimtetea sana na mapovu juu leo katenguliwa mnapongeza tena.
 
Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Hapa wakutafutwa Ni washika remote,kwakweli kwa hili mama hebu ajipe muda na yeye kufanya intelligences yake.
Nakumbuka hatajpm na yusuph makamba waliwahi thibitisha kwa maneno yao namna watu wanavyopeleka majina Yao na kujitaji yateuliwe toka mamlaka ya juu ya uteuzi.
Mama yetu Tunakuamini Sana kua macho na hizo the maslahi
 
Mama aachane na mitandao afanye kazi taratibu. Lakini sasa anateua anakimbilia kuchungulia comment za raia. Ina maana alikua haoni kabisa alichokua anafanya mtangulizi wake?
Kwann mnafikiri kuwa ameangalia comment? Inaweza kuwa ni coincedence tu huenda alishapewa taarifa ya tatizo na watu wake ASAP baada ya kutangaza. Au labda palikuwa na technical error na watoa taarifa au uchapaji.
 
Sawa doto je? Pesazetu zisichezewe!!!
Namsihi sana sana amhamishe yule mama tamisemi ampeleke hata utalii huko. Tamisemi anahitajika injinia mwepesi kufuatilia maujenzi makubwa yanayofanyika TUTAIBIWAAAA!! Mama nimshapu sawa lkn ujenzi tarura,zahanati,mastendi,mashule hatoweza embu tuelewane...anajua bei za nyanya,choroko nk. lakini abajua za manondo,machinery zaujenzi, au BOQ zitampita tupigwe mabilioni!!
Covid yenyewe mnayomsifia kwayo alielekezwa tuu chakufanya na mwendazake nabado imezingua!!
Kwa style hii miradi itazorota mmno,wizi utashamiri sana tamisemi inahitaji MTU mwenye sauti kali kukaripia na kutishia wahuni na majizi mfano mtu kama Mwanri angefaa,uhuni halmashauri zetu ni wa kiwango cha juu mama hatoumudu ninarudia HATOUMUDUU bongo si zenji yawaungwana MTU yuko ibada church huku anachati nasimu jinsi yakuiba mabilioni
 
Back
Top Bottom