Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

View attachment 1743826

Zaidi soma:

Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
Haaaaaamama yuko sharp ila aliyepenyeza hilo jina k anayo
 
Mama aachane na mitandao afanye kazi taratibu. Lakini sasa anateua anakimbilia kuchungulia comment za raia. Ina maana alikua haoni kabisa alichokua anafanya mtangulizi wake?
Inaruhusiwa ili mradi afanyie kazi ushauri ili kupata informed data kwa maamuzi sahihi, ni nzuri to compare notice
 
Sioni umuhimu wa kuwa na haraka Sana ya kuteua, rais aende tu taratibu asikwepe jukumu la kupitia CV za watu taratibu, ni Bora achelewe kuteua Ila ateue watu sahihi ambao hata yeye kapitia CV zao Kwa umakini.
Naona kama kuna uharaka Sana wa kuteuateua ambao sijui unatokana na nini hasa.
Sio muda tunarudi kwenye utaratibu wa watu kununua vyeo vya teuzi na kuwa na madalali kabisa wa kuuza nyadhifa.
Mungu amsaidie rais aone haya mapema.
 
Wanamzonga muno, wamwache apumue kwanza
Kumwacha apumie haiwezekani. Ndio rais na haya ndio maisha yake na ndio kwanza yameanza..
😀😀😀
huyu mama lazima atapungua pia sitoshangaa akisema hagombei 2025..
 
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikumbwa kwake...

Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...

Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko na kimajungu zaidi..
sijaona kuaibika hapo. ni kubadilisha tu safu
 
Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Mbona Jiwe aliwahi teua mama Mganda kushika nafasi nyeti kesho yake jion akatengua.
 
Asee kijazi kapanda cheo na bado ana kofia mbili sema ana uwezo na uweledi mkubwa sana anastahili hapo alipofika.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] bachelor ya evening class chuo Cha Yohana
yaaani mm mwenyewe namzidi. mtu hana international exposure, alipoenda mbali ni kufanya kazi UVCCM.
hii ilikuwa big mistake
 
Kumwacha apumie haiwezekani. Ndio rais na haya ndio maisha yake na ndio kwanza yameanza..
😀😀😀
Tuko naye miaka zaidi ya tisa mbele ya safari yake. Marekebisho mazuri tu atafanya ila kwa nafasi yake na kwa kupumua. Wamwache apumue kidogo, mwishowe watamkosesha. Mama yuko makini na ana nia njema sana tangu allipokuwa ni VP
 
Hili ni doa kubwa kwa taasisi ya urais. Linaashiria ukosefu wa umakini. Na inakuwa mbaya zaidi inapohusisha mtendaji wa taasisi nyeti kama TPDC. Mama tunakupenda, lakini tunaomba uwe makini zaidi.
 
huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu??????huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----

Yani wewe unaonyesha dhahiri unamchukia huyu mama...acha roho ya hivyo wewe dada. Anaemchukia huyu mama atakua na lake jambo sio bure....kuna maraisi wengi tu wameongoza nchi zao tena vizuri kabisa, raisi mstaafu wa Argentina alikua the women Isabel Martinez de peron na ameweza.

Full List​

Tatizo lenu mnaona kitu cha ajaabu huyu mama kuongoza nchi, anaweza akawa bora zaidi ya maraisi wote waliopita na tukamuongezea mihula mingine.
 
Sioni umuhimu wa kuwa na haraka Sana ya kuteua, rais aende tu taratibu asikwepe jukumu la kupitia CV za watu taratibu, ni Bora achelewe kuteua Ila ateue watu sahihi ambao hata yeye kapitia CV zao Kwa umakini.
Naona kama kuna uharaka Sana wa kuteuateua ambao sijui unatokana na nini hasa.
Sio muda tunarudi kwenye utaratibu wa watu kununua vyeo vya teuzi na kuwa na madalali kabisa wa kuuza nyadhifa.
Mungu amsaidie rais aone haya mapema.
Simple, anazipitia moja baada ya nyingine akiwa na wataalam wake wa HR...ajipe muda!
 
Mwesiga kavunja rekodi ya Bashiru! Namwona Daktari akitabasamu.....
 
Back
Top Bottom