Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Magufuli alimteua mkurugenzi nsssf leo kesho akamtoa?? Hakuona hilo kama dhaifu, au kwasababu ni mwanamke??? Acheni mambo yenu teuzi ni nyingi na ni binadamu! Na kama ana uwezo wa ku rectify kuna shida gani??? Ni mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kazi
kwa akili yako unaona magufuli ni rais mfano? si walewale tu kasoro tarehe
 
Kwa uelewa wako ni bora Raisi ajue kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika kuliko kujua CV za wateule wake

Huoni Raisi amejionyesha hajui anachokifanya anakurupuka
Unajisahaulisha huyo aliyekua anajua CV za wateule wake alivyokua anakuja mikoani anawauliza wakurugenzi hivi wewe kabla ya kazi hii ya ukurugenzi ulikua unafanya kazi gani?

Yule alikua anajua kukariri tu KM za barabara tu na kucheleweshea wastaafu mafao yao.

Mambo mengine hakuna kitu.
 
Magufuli alimteua mkurugenzi nsssf leo kesho akamtoa?? Hakuona hilo kama dhaifu, au kwasababu ni mwanamke??? Acheni mambo yenu teuzi ni nyingi na ni binadamu! Na kama ana uwezo wa ku rectify kuna shida gani??? Ni mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kazi
kwa akili yako unaona magufuli ni rais mfano? si walewale tu kasoro tarehe
 
Faida za Kigogo 14 zinaanza kuzaa Matunda kwenye hili Taifa letu pendwa
 
View attachment 1743826

Zaidi soma:

Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
Aisee katanga please hii ni dosari kwako,kwamba husomi hizo cv vizuri
 
Kwa uelewa wako ni bora Raisi ajue kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika kuliko kujua CV za wateule wake

Huoni Raisi amejionyesha hajui anachokifanya anakurupuka
Hapa mwenyewe inawezekana umekurupuka maana hujui tatizo lilikuwa kwenye uteuzi au uwasilishwaji wa taarifa. Hili suala lilishamtokea JPM pia akatengua uteuzi, kuna yule alishindwa kuapa.
 
kwa akili yako unaona magufuli ni rais mfano? si walewale tu kasoro tarehe
Kuwa raisi ww basi!! Una la ziada au, ni wale wale kama mm huna la ziada zaidi ya kuwa nyuma ya keyboard kukosea watu ma raisi??? Raisi wa mfano no yupi, au tusiburi uwe wewe wa mfano!! You dont have to be against everything and everyone!! Binadamu makosa ni kawaida, na kama ameweza kurekebisha asubuhi nadhan ni jambo zuri!! Tunasubir wewe uje kuwa raisi wa mfano😉
 
Mama anaanza kuharibu, amefanya sahihi kabisa kumtengua bt ilikuwaje hadi akateua mtu ambe hamjui vzr.
 
Tatizo ana haraka sana kuifumua serikali kama hakuwa Makamu wa Rais....Au anatuaminisha kuwa alipokuwa anasema wanashirikishana kwenye Teuzi wakati wa JPM haikuwa KWELI.
Ingekuwa rahisi yeye kusema teuzi anafanya bwana mkubwa mwenyewe?
 
Mama keshafahamu analishwa matango pori, mama awe makini team inayomzunguka kuna watu wanapanga safu zao asipoangalia 2025 atajikuta nje...

Hii sector ya mafuta ndo kuna wizi na ufisadi wa kutisha... ambao hata watu wazito wapo .....
Huyu sio mara ya kwanza wanafanyia zengwe na kumtoa. Last time alifanyiwa fitna akatolewa, wekwa ndani mpk funguliwa mashtaka ya kutengeneza... hadi JPM aliposhtuka na kuagiza arudishwe ktk Cheo chake mara moja !!
Ni wazi jamaa ni kikwazo watu kuendelea kukwapua. Yeye hana njaa ndo maana aliacha mabilioni huko nje kuja kuitumikia nchi yake...
Majizi hayapendi watu kama hawa na ndo hayo hayo pia na akina Kakoko wanaharibu flowmeters za udhibiti wa mafuta yanayoingizwa ili wapige.

Madame Prez toa agizo kule Bandarini ifanyike auditing ya report za flow meters zote hasa ile ya mwanzo kigamboni uone madudu ya mafuta kiasi gani wamekuwa yakiibiwa, au kupokelewa machafu, na jinsi walivyochokonoa ili kuharibu data !
Huyo kakuku ni mtu hatari sana....husimwache kabisa...
 
Back
Top Bottom