Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Kuna tatizo linakuja huko mbele. mama hteui mwenyewe, analetewa bila yeye mwenyewe kufabya scrutiny!
Ni kweli
Ila kwa level ya Uraisi na majukumu yake ni ngumu sana kupata taarifa sahihi kwa kila mtu unayeletewa kumchagua
Mama alie na team inayomshauri
 
Hapo kweli Mh raisi kaonyesha ukomavu,nilipigwa na butwaa kumuondoa huyu Dr Mataragio, inaonekana kuna watu wasio na nia njema wanamshauri vibaya Mh raisi, lakini nae mh raisi yupo madarakani muda mrefu naamini anajua karibu kila kitu kwenye nchi hii ,washauri waache kumlisha matango mh raisi, Hata pale TRA kuna kasoro kwani yule Kamishna aliyeondolewa si alikuwa anafuata maagizo ya viongozi wakuu,kosa lake lipi?
 
Aliteuliwa na JK enzi ya ombeni sefue kuwa DG wa TPDC, na walimtoa marekani alikuwa anafanyia kazi
JPM aliikataa gas ya JK ,akaenda kuanzishwa bwawa la nyerere kuzalishia umeme, njia pelee ya kuanza kuitumia gas ya JK ni JK amwingize Dr James mataragio TPDC, na ndicho kilichotokea jana.
 
Acha kumwita dhaifu kisa teuzi aisee, eti hauko tayari, kweli jamii yetu ina Perception mbaya kwa wanawake mbona hata magufuli aliingia Chaka na kurekebisha. Makosa ni sehemu ya ubinadamu ndio maana yanarekebishika
Nakuunga mkono hoja yako.
 
Kwa hakika mitandao ya Kijamii kama JF,Twitter inasaidia sana. Watu walihoji sana kama mteuliwa anakidhi vigezo vya kuweza kuhimili mambo makubwa. Anatakiwa aanzie kwenye grassroot apande vyeo mpaka awe Senior. Nani alipendekeza jina lile hatujui.
 
Mheshimiwa Rais angeahirisha uapishaji ili awaangalie upya wale walioteuliwa na walioanguliwa.
Wanaweza kuna wakina Thobias wengine.

Amandla...
 
waajabu hao jamaa wamezoea takwimu za kupikwa na bla bla nyingi..... Mama is the best na anajitahidi kuwa fair na kuendesha office katika njia sahihi, akisema ateue watu anaowajua wataanza sema oooh anapendelea watu wake.
Watu hawana jema aisee, mama Tena ni proactive alibadilisha watu if hao vijana walichomeka jina kusudi
 
Acha kumwita dhaifu kisa teuzi aisee, eti hauko tayari, kweli jamii yetu ina Perception mbaya kwa wanawake mbona hata magufuli aliingia Chaka na kurekebisha. Makosa ni sehemu ya ubinadamu ndio maana yanarekebishika
Mfumo dumo upo kuna watu wanamchukia kwa vile tu ya Jinsia! Inasikitisha kwa kweli yaani akikosea asirekebishe sio?
 
Rais anafanya kazi na watu, anaweza kupokea na kudai taarifa muhimu kabla ya kufanya maamuzi ila hapa naona kabisa Kuna watu wanaenda kuwajibishwa na kutenguliwa kwa hili

Mimi nimeona Rais Samia Suluhu Hassan yuko makini kwa kufanya utenguzi huu mara moja
Uko sahihi, uteuzi ulioudhi kutenguliwa mara moja baada ya malalamiko ni ushindi kwa nchi.
 
Back
Top Bottom