Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

mimi sina resources kama za rais usinilinganishe na rais ambaye mpaka mswaki anapigwa. siwezi kuingia chama kifala namna hiyo
nendeni mkamfufue muuwaji wenu ngosha aje awaongoze, yeye mbona alimteuaga Mtu nafasi ya naibu waziri,akashindwa hadi kuapa,baadae akatengua uteuzi wake
 
Vipi tenaaaaaa...
Labda madame kagundua madhara ya kuteua mtu kwa msingi wa U-UVCCM na ukada wa chama...
 
Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya sita ya JMT ,Rais wetu mpendwa mama Samiah amekuwa anafanya teuzi mbali mbali kwa ajili ya kuoboresha utendaji ndani ya taasisi za serikali .Kwa muktadha huo,jana alifanya teuzi za baadhi ya watendaji na leo hii ametengu teuzi moja wapo baada ya kugundua kuwa mteule ambae ndie alikuwa awe Mkurugenzi mtendaji hana sifa wala vigezo vya kuwa Mkurugenzi wa shirika nyeti na kubwa kama TPDC.Mheshimiwa Rais anastahili pongezi kwa kusikiliza kilio cha Watanzania wengi kwa kutengua uteuzi wa Bwan Thomas Mwesiga .Usikivu wako uliosababisaha kufanya maamuzi sahihi ni kwa haraka ni kielelezo ya kuwa nchi yetu inae Jemedari mkuu anaesikiliza pia wasiokuwa na maamuzi ambao silaha yao kuu ni mitandao ya kijamii,Hongera mnoo Rais wetu Mama Samiah (Mama wa nguvu )
 
Kwahiyo yule dogo wa UVCCM alishaanza sherehe ghalfa imezimwa!

Kuna kila dalili Bi Mkubwa anapita mitandaoni sana maana jana skendo zake zimeibuliwa
 
Hongera sana Kigogo2014 kwani unasaidia sana hii nchi.

Hivi wewe umeolewa na kigogo? Kwanini sisi humu wana Jf si tumejadili sana uteuzi wa huyo jamaa leo hii mapema sana na kila mtu aliupinga?

Wewe bila kigogo uwezi fikiri?

Punguza utegemezi kwa watu wewe hujui kusoma CV?


“CCM mbele kwa mbele”
 
Kweli Mama atulie apate muda kdgo wa kuchambua na kufanya maamuzi then atumbue.
 
Back
Top Bottom