Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Hawa umbwa wana acess na mafaili ndiomaana wakati mwingine wananyofoa majina na kujiweka wao yaani TISS kipindi hiki ni majanga sana kwakweli nchi imepigwa loh kwa haka ka cv cha huyu kinda kweli akawe mkurugenzi Mkuu wa TPDC nimeshangaa sana, Mama anatakiwa kuwa makini sana na haya matakataka yanayomzunguka, na kwakua kala kichwa yule daktari kipenyo wa marehemu yaani bado wana hasira naye sana ajiangalie sana , nadhani hata ulinzi wake unatakiwa JWTZ wa take course
 
Ila sasa ina maana mfumo wetu wa vetting umeoza kiasi hiki ???
Hili linaogopesha sana, sana na linanifanya niwaze mengi.
Ni kweli, inaonekana mfumo umeoza kabisa. Ila na yeye asome mwenyewe hizo CV na kujiridhisha kabla ya kutangaza hizo teuzi. Maana watu wakiona hapitii CV yeye mwenyewe; watamchomekea tu watu wao.
 
duuh ushakuwa mtoto

Mataragio ni wa nani??

ashakufa japo alikuumiza, pole sana

He is gone, pambana na hali yako na familia yako


Hakuna jipya, kama alikata mirija ishaondoka pia,
Mataragio ni wa JK.
 
nazungumzia kuwajua!sizungumzii uwezo wao. Magufuli hawezi kumpa mtu idara vyeti bila kumjua hata kama atakuwa hovyo lakini anamjua ni hovyo
ndo nenda kaufufue mzoga wake ujaze upepo ukawaongoze we na familia yako
 
Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Hata hiyo team inayomshauri ,mama aiangalie vizuri , kuna uwezekano wanamhujumu aingie chaka.
Ila nimependa anavyorespond kwa haraka na kuna uwezekano Mam tupo naye sana humu Jf
 
Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya sita ya JMT ,Rais wetu mpendwa mama Samiah amekuwa anafanya teuzi mbali mbali kwa ajili ya kuoboresha utendaji ndani ya taasisi za serikali .Kwa muktadha huo,jana alifanya teuzi za baadhi ya watendaji na leo hii ametengu teuzi moja wapo baada ya kugundua kuwa mteule ambae ndie alikuwa awe Mkurugenzi mtendaji hana sifa wala vigezo vya kuwa Mkurugenzi wa shirika nyeti na kubwa kama TPDC.Mheshimiwa Rais anastahili pongezi kwa kusikiliza kilio cha Watanzania wengi kwa kutengua uteuzi wa Bwan Thomas Mwesiga .Usikivu wako uliosababisaha kufanya maamuzi sahihi ni kwa haraka ni kielelezo ya kuwa nchi yetu inae Jemedari mkuu anaesikiliza pia wasiokuwa na maamuzi ambao silaha yao kuu ni mitandao ya kijamii,Hongera mnoo Rais wetu Mama Samiah (Mama wa nguvu )
Hizi sifa rukuki kwa jambo dogo lifanywalo na viongozi wetu linawaharibu. Wa Tz mmepatwa na kirusi gani hiki?
 
Tuko naye miaka zaidi ya tisa mbele ya safari yake. Marekebisho mazuri tu atafanya ila kwa nafasi yake na kwa kupumua. Wamwache apumue kidogo, mwishowe watamkosesha. Mama yuko makini na ana nia njema sana tangu allipokuwa ni VP
Zaidi ya tisa?????
 
Uko sahihi nashangaa watu kushupalia ujinga, mama noticed mistakes na aka change haraka yet watu wanakomaa nalo, na hamna binadamu asiyeingia chaka
waajabu hao jamaa wamezoea takwimu za kupikwa na bla bla nyingi..... Mama is the best na anajitahidi kuwa fair na kuendesha office katika njia sahihi, akisema ateue watu anaowajua wataanza sema oooh anapendelea watu wake.
 
We naye!!

Unafikiri Rais ni mungu? Anashauriw ni kitu cha kawaida na hii inathibitisha ubinadamu, ndio maana kagundua amekosea kasikiliza critics za umma na kufuatilia kwa kina CV ili kujiridhisha!!

Hata Magufuli licha ya kujipambanua kuwa mtu makini washauri wake walikuwa wanamuingiza chaka.

Tumshukuru anafuatilia home of great thinkers where we dare to talk openly!!
Kuna mahali labda Kitengo Cha vetting na huyo boss wa TPDC walikwaruzana wakaamua kumuondoa kwenye hizo teuzi huwa zinatokeaga huwezi jua.
 
Daah jamaa hana bahati
Asiyekuwa na bahati ni huyo ambae alikuwa achukue nafasi yake. Aliacha kazi yake nzuri kuja kutumikia taifa lake. Lakini alipelekwa Mahakamani kwa kuambiwa ametumia madaraka yake vibaya. Mahakama ikayatupilia mbali. Mkuu akaamuru arudishwe TPDC. Sasa imekuja hii ya kuondolewa hadharani ili kumpisha kijana ambae kwa vyovyote hastahili hii nafasi. Natumaini watamuomba msamaha kwa kumdhalilisha.

Amandla...
 
Back
Top Bottom