Makosa ya kiufundi tu huenda kuna typing error zilijitokezaSIJUI MH RAIS ALITUMIA VIGEZO GANI..MTY WA BSC CIMMUNITY DLOMENT KUWA DG WA TPDC?SIJUI ANGEFANYA KITU GABI OALE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makosa ya kiufundi tu huenda kuna typing error zilijitokezaSIJUI MH RAIS ALITUMIA VIGEZO GANI..MTY WA BSC CIMMUNITY DLOMENT KUWA DG WA TPDC?SIJUI ANGEFANYA KITU GABI OALE
Hahahahah..Alikuwa kanisani Leo misa ya shukrani kushukuru uteuzi!
Ibada imeisha kakutana na utenguzi!
Kazimia hapa tupo tunampepea na chotezo za ubani
Huu uteuzi umevunja rekodi ya duniaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa mkuu wa shirika la maendeleo ya petrol( TPDC), Bw Thobia Mwesiga Richard leo tarehe 5, April 2021.
Bw Thobias Mwegisa Richard aliteuliwa jana na ilitarajiwa ale kiapo kesho April 6, saa nne asubuhi.
View attachment 1743925View attachment 1743924
Unaweza enda omba sadaka urudishiwe.Alikuwa kanisani Leo misa ya shukrani kushukuru uteuzi!
Ibada imeisha kakutana na utenguzi!
Kazimia hapa tupo tunampepea na chotezo za ubani
Naudhika kuona haya manguo mimi jamanjThobisa Mwesiga RichardView attachment 1743926
Anapitia jamhuri ya Twitter piaWe naye!!
Unafikiri Rais ni mungu? Anashauriw ni kitu cha kawaida na hii inathibitisha ubinadamu, ndio maana kagundua amekosea kasikiliza critics za umma na kufuatilia kwa kina CV ili kujiridhisha!!
Hata Magufuli licha ya kujipambanua kuwa mtu makini washauri wake walikuwa wanamuingiza chaka.
Tumshukuru anafuatilia home of great thinkers where we dare to talk openly!!
Rais anajielewa acha dharau weweanapokea bila kufanya scrutiny? unateua mtu shirika nyeti bila kupata CV yake? bila vetting? hajielewi huyo rais wako
Tatizo sio idadi ya wasomi. wanao kidhi vigezo ni wangapi?Huyu rais nae ashaanza kuwa kiazi.Nchi ina wasomi wangap?
nashauri awe anapeleka majina twita wamsaidie kabla ya kwenda hewaniRais anajielewa acha dharau wewe
Nchi hii hatuna viingozi wa dini tuna wachumia tumbo mpaka liwakute ndio wanatoa tamko, kwahyo hao makasisi wasigendanja wangesema hamna CoronaYaani Tumevurugwa! halafu hamna watu walinistaajabisha kama Maaskofu, JPM alikuwa anajua kuwaweka mtegoni baada ya corona kuingia akaitisha Maombi halafu ghafla akakatisha kutangaza maambukizi halafu akadai Maombi yameponya hamna alimpinga! Baada ya Makasisi na Masista kuanza kuputika huko waliko wakanza kulia nyau wakati kipindi JPM anasema maombi yameponya walim-support! Na tena wale wabishi waliwanyang'anya passort zao!
hizo information za why mtu fulani kaondolewa why mwingine karudishwa ziko kwa mamlaka zinazofanya vetting. ikiwamo TISS.Kwenye kibao motomoto cha Reggae strong-Lucky Dube unaambiwa Reggae's everywhere.
Mama anacheza tu reggae kwenye hizi teuzi wala hazina tija yoyote zaidi ya yeye ku-exercise mamlaka yake.
Tuwe tunaambiwa na sababu za mtu huyohuyo mmoja kutolewa point F na kupelekwa J.
Kama KM ka-underperform wizara G,kuna muujiza gani atafanya huko wizara H anayohamishiwa?
Ushauri:Aendelee na wateule wote wa mtangulizi wake kama walivyo tu bila hizi sub za ajabuajabu.
Huku kwa DEDs,RAS,DCs and RCs atatuletea mpaka vichaa kwa staili hii.
Hata mkiwa wengi kwenye maamzi mnaweza kukoseaKwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?