Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Mama keshafahamu analishwa matango pori, mama awe makini team inayomzunguka kuna watu wanapanga safu zao asipoangalia 2025 atajikuta nje...
Ndiyo maana Magu alikuwa anajilipua mwenyewe tu na misalaba anaibeba yeye.
 
Mama amezungukwa na mafisadi, walitaka kumuingiza mkenge; thanks to JF ndio iliyomuamsha.

Local largest trading partner wa Tanzania ni Kenya, raisi wao alimpa ushauri wa bure hadharani; stick to Magufuli road map mama aache kuleta ubunifu wake.

Asikilize tena na ushauri wa JF akae karibu na Jaffo, Majaliwa, Biteko na Dr Mpango; hao ndio wanaweza mwambia what would Magufuli do.
 
Huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?

Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Amuulize Jiwe alokuwa anateua watu baada ya muda anawatengua?
 
Zaidi ya tisa?????
Miaka tisa na miezi kadhaa, na kuna uwezekano huko mbele ya safari, tukaja kumuongezea na bonus nyingine ya miaka kadhaa kwa sababu hatujawahi kupata Rais mwanamke tangu tupate Uhuru
 
Miaka tisa na miezi kadhaa, na kuna uwezekano huko mbele ya safari, tukaja kumuongezea bonus ya miaka minnine kadhaa mingine kwa sababu hatujawahi kupata Rais mwanamke tangu tupate Uhuru
Mapema sana kusema hivo
 
Sasa Mwesiga atarudi alikokuwa au? sababu kutangazwa kuwa unaenda mahali fulani maana yake nafasi yake iko wazi alikokuwa sasa kama ametangazwa kutenguliwa bandari maana yake kibarua hana kote

Sababu ikulu ilitakiwa itamke kuwa ametenguliwa kule na Raisi kamteua aendelee pale alipokuwa Sasa status ya Mwesigwa yake ikoje? Kesho aende kazini au alale nyumbani?
Mkuu hapo halijatolewa tamko lingine kuwa anapelekwa wapi tena baada ya utenguzi.
Kujibu swali lako ni kuwa anatakiwa kusalia nyumbani/ aendelee na mambo yake binafsi tu.

Ila kuhusu kutolewa sehemu ambako alikuwepo mwanzoni, urejeshwaji wa huko mpaka tamko tena.
 
Mama anaharaka gani wakati tushamwambia nchi yake hii???

Atulie bhana..
 
Hizi sifa rukuki kwa jambo dogo lifanywalo na viongozi wetu linawaharibu. Wa Tz mmepatwa na kirusi gani hiki?
Mbona hizo sifa "lukuki" wengine hatuzioni. Ziainishe tuchambue kama anazo kweli au hana.
 
Sasa Mwesiga atarudi alikokuwa au? sababu kutangazwa kuwa unaenda mahali fulani maana yake nafasi yake iko wazi alikokuwa sasa kama ametangazwa kutenguliwa bandari maana yake kibarua hana kote

Sababu ikulu ilitakiwa itamke kuwa ametenguliwa kule na Raisi kamteua aendelee pale alipokuwa Sasa status ya Mwesigwa yake ikoje? Kesho aende kazini au alale nyumbani?
Mkuu wenye mamlaka ya utenguzi hawajatoa tamko lingine aende wapi tena.
Kujibu swali lako ni kwamba bwana Mwesiga kesho aendelee tu mambo yake binafsi.

Akienda ofisi ambayo alikuwepo awali, walinzi lazima wamzuie getini. Akishatoa maelezo huko ofisini anakwenda kufanya nini, wanaweza wakamruhusu au vinginevyo.
 
Back
Top Bottom