900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
kwaniniRais ajiudhuru 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaniniRais ajiudhuru 😂😂😂😂
na alipo teua akaja na vichekeshoHuyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?
Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Acha kuijfanya mjuwaji miezi mitatu unataka kuteua malaika?Huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?
Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Umenikumbusha bosi mmoja aliagiza baadhi ya watumishi kufukuzwa. Barua zikapelekwa kwani akasaini zote.Atakuja saini kitu then too late...
Mkuu sasa ndio naelewa kwanini Marehemu alikuwa anawatukana watanzania wana mdomo na ujuwaji sana.Kuna muda mwingine zaidi ya huu alionao?
Tatizo letu UmuchKnow mwingi sana Wabongo.
Kila kitu tunajifanya tunajua alafu we c ndo unelalamika ile thread juu ya huyu jamaa mbona tena hauridhiki au ulitaka uchaguliwe wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nahisi watu walichomekea Hilo jina na CV yake isiyoeleweka ili kumharibia Raisi aisee kwa makusudi kabisa. Mazaa awe makini sana
Endelea kukaza hilo fuvuKaribuni serikali nyingi duniani hupambana social media utopolo ambazo habari zake hazichujwi kila mwehu ni mwana habari huweka bandiko na likarushwa hewani.
Nahayo unayoyasema viongozi kfanya maamuzi na kukimbilia social media kutizama marejesho hizo ndoto za mchana Maamuzi mangapi mzee wa HAPA KAZI ALIFANYA na watu wakatoa povu lao ktka social media mpaka kuzirahi humo lakini hakuna kilichobadilika.
Mama Shikamoo tumekumisi sanaaa KARIBU TENA !!!!Uliutaka utawala wa ukiritimba?
Tatizo jingine kila mtu anajiona yeye ndio anapaswa kuteuliwa, yaani akiteuliwa CDF wanapinga, akiteuliwa IGP wanapinga, uhamiaji, magereza, DC , RC , DED,Mkuu sasa ndio naelewa kwanini Marehemu alikuwa anawatukana watanzania wana mdomo na ujuwaji sana.
Kweli kabisa mkuu macho_mdilikoMkuu Lusungo nimeamini Tanzania kila kitu kinawezekana. Umeona elimu na CV ya huyu ''muungwana'' aliyeteuliwa na kutumbuliwa? Alipitapitaje ngazi ya uteuzi? Naamini kuna viongozi ambao uwezo wao ni mdogo sana sana. Haya mambo rais Samia akitaka yakome inahitajika katiba mpya haraka iwezekanavyo. Nafasi za uteuzi kama hizi zipitishwe na Bunge kwa kushindanisha watu wenye sifa. Lakini kwanza....... Bunge lenyewe lipatikane kwa demokrasia na utaalam ili wabunge wawe watu wenye uwezo kichwani. Bunge likiachwa liwe la akina Jah People na Babu Tale bado hata majina yakienda bungeni haitasaidia. Halafu ni muhimu sana ''system'' i-encourage bunge liwe na mchanganyika wa vyama. Hili la kufosi wabunge watoke chama kimoja linaturudisha nyuma.
Huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?
Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Naona Mama kashajipunguzia marks mbili za ubora, kwamba anakurupuka uteuzi
ATULIZANE!
Endelea kukaza hilo fuvu
Na waliingiza Hilo jina kusudi la mtu asiye qualify kwenye nafasi nyeti kusudi. Sasa mtu kasoma chuo Cha Yohana bachelor ya evening program, then kafanya uvccm, kah ilikuwa joke ya hatariHahaha huo wasifu wake uko wapi?
Mama anaingizwa mkenge na washauri wake. Inaonekana wana-take advantage ya upole wake.