Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Nashauri Mhe. Rais awe macho sana na wanawake wenzie.....kuna wengi hawaja pendezewa kabisa na Mama Sameer kushika Usukani wa Jahazi letu linalopigwa Mawimbi makubwa kati ya bahari....!!!
Mimi huwa najiuliza hyo tabia ya roho mbaya kwa wanawake wenzao huwa inatoka wapi
 
Kama huyu dogo alikuwa DSO kipindi cha uchaguzi mkuu basi Zito alikuwa na haki kushindwa
 
Ina maana sio yeye anayeteua hawa watu na kusaini pia? Mama anaanza kutuzingua.
Rais hawezi kuwafahamu wateuliwa wote,wala si lazima awafahamu. Tatizo la nchi hii kwa Muda sasa ni Mifumo.

Tumehama kwenye misingi sasa kila mtu,taasisi,waliopewa dhamana wanafanya kwa maslahi binafsi, ya kikundi kwa upendeleo maalum pasi kuzingatia misingi yenye tija kwa Taifa.

Ndio maana JPM kila kukicha alikua anatumbua. Ndio maana inawezekana JPM pia aliamua kuwateua wengi aliowafahamu moja kwa moja hususan aliofanya nao kazi maeneo mbalimbali.... Kwa ufupi Veting system imeparalaizi..... Turudi katika misingi.
 
Hapa umeongea mchakato halisi unavyofanyika. Tena zoezi hili husimamiwa na katibu mkuu wa wizara husika akishirikiana na bodi ya taasisi husika.

Kuna kipindi nafasi ya DG bandari, EWURA na FCC zilitangazwa miaka kama mitatu au minne nyuma na ulipaswa utume maombi kwa makatibu wakuu husika. Ila baadae ghafla pia wakateuliwa watu moja kwa moja.
 
Huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?

Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Weweee.........huyu mama ni poa sana, kwa kila kitu.
She has a human face.

Angekuwa yule mwingine angekuambia kaa na mavi yako nyumbani.
 
Mimi huwa najiuliza hyo tabia ya roho mbaya kwa wanawake wenzao huwa inatoka wapi
Kama wewe ni msomaji wa Biblia fuatilia habari za hawa wanawake 3 tu utaona shida ya mwanamke imetokea mbali sana:
  1. Hawa au Eva......mke wa Adamu.
  2. Sarai au Sara......mke wa Ibrahimu.
  3. Miriam................dada wa Mussa.
Mahali fulani inasema kaeni na wanawake kwa akili maana ni viumbe dhaifu although most of them are good mothers.

1 Pet 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba ...
 
Nashauri Mhe. Rais awe macho sana na wanawake wenzie.....kuna wengi hawaja pendezewa kabisa na Mama Sameer kushika Usukani wa Jahazi letu linalopigwa Mawimbi makubwa kati ya bahari....!!!
Lilikjwa linapigwa mawimbi, sasa jahazi limeanza kutulia.
Mama ana inspire amani moyoni.
 
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikubwa kwake...

Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...

Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko na kimajungu zaidi..
Wapiga domo nyie.

Yaani mtu hata mwezi hana tayari mshaanza. Eti teuzi nyingi, teuzi nyingi zipi??
 
Hapa umeongea mchakato halisi unavyofanyika. Tena zoezi hili husimamiwa na katibu mkuu wa wizara husika akishirikiana na bodi ya taasisi husika.

Kuna kipindi nafasi ya DG bandari, EWURA na FCC zilitangazwa miaka kama mitatu au minne nyuma na ulipaswa utume maombi kwa makatibu wakuu husika. Ila baadae ghafla pia wakateuliwa watu moja kwa moja.
Awamu ya 5 ilikuwa na namna yake ya kupata Wakuu wa Taasisi. Nayo ni direct appointment na mwendo wa Head Hunting.

Kama recruitment ingefanywa kama ilivyokuwa inatakiwa, 'Wasukuma Gang' wasingeweza kujazwa kwenye posts nono nono.

Pia suala la ajira awamu 5 lilikuwa ni internal zaidi. Kwa maana ni watumishi wa umma pekee ndio walipata fursa ya kuwa promoted na kuteuliwa. Hivyo Mamlaka za Uteuzi hazikuona sababu ya kufuata mtiririko mrefu wa usahili.
 
Huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?

Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Teua wewe basi usie na matatizo.

Yaani mijitu ina expectations zao halafu zisipokuwa met mnaanza ujuaji.

Muacheni mama afanye kazi
 
Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Hivi akae nani mpaka tuwe na rais??? Akae Lissu au??
 
Maana wakurugenzi wa mashirika sehemu nyingi duniani huwa ni interview, pia kwa nature ya bunge letu vilaza mbona Napo ni shida. Pia katiba siinaweza kuwa amended kwenye vipangele ili ku update
Utaratibu hata hapa upo hivyo ni taasisi chache sana Rais huteua moja kwa moja. Mara nyingi huwa anapelekewa majina matatu baada ya usaili kufanyika.

Miaka kama mitatu au minne nyuma Bandari, EWURA na FCC walitangaza nafasi za wakurugenzi wakuu watu walituma maombi kwa makatibu wakuu. Ila baadae pia ghafla wakateuliwa watu moja kwa moja nakumbuka FCC palikuwa karibu na barua 34 za watu na Prof. Adolf Mkenda ndio alikuwa katibu wa wizara ya viwanda na biashara.
 
Back
Top Bottom