ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Swali langu hv huyu ataapishwa !!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali langu hv huyu ataapishwa !!?
Doto jekwenye hilo Magu namkubali,kwanza sehemu nyeti hapeleki mtu asiyemjua binafsi,hata kama ni ndugu au upendeleo
Kwamba watu 60m hakuna mwingne mwenye vigezo zaidi ya huyo?Hii nchi ni mali ya wachache.tatizo sio idadi ya wasomi. wanao kidhi vigezo ni wangapi?
alafu asubuhi hii anarudi kwa unyenyekevu kuomba funguo kwa mwenye nyumbaNasikia jamaa alisharudisha chumba kwa mwenye nyumba
Hii inaonyesha Rais wetu si mtoa maamuzi,kuna mtu yuko nyuma ya pazia anapanga na kumwambia afanye,sasa mama akienda kulala na first gentlemen akigombezwa akiambiwa amechemka,Akiamka asubuhi kesho yake chakwanza ndio Kutengua kama alivyofanya hapo sasa.Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
[emoji23][emoji23][emoji23]alafu asubuhi hii anarudi kwa unyenyekevu kuomba funguo kwa mwenye nyumba
hata Kigogo kasema huyu alikuwa DSO , kada wa CCM sasa haya mambo ta TPDC wapi nawapi? Samia analetwa mezani bila yeye kufanya personal scrutiny... kuna hatari mbele iakuja.. tena kubwa
is why hata kwenye interview hamfaulu wote.Kwamba watu 60m hakuna mwingne mwenye vigezo zaidi ya huyo?Hii nchi ni mali ya wachache.
Ilikuwa kwenye Uzi flani SEMA mods wakaunganisha Hadi Uzi ukapoteza maana, maana kijana kafanya uvccm, kasoma bachelor yake udom,na degree nyingine ya evening chuo Cha Yohana huko
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikubwa kwake...
Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...
Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko na kimajungu zaidi..
Na alipoteua baada ya hiyo miezi mitatu alileta nini cha maana?huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu??????huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikubwa kwake...
Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...
Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko na kimajungu zaidi..
Huu ni uamuzi sahihi kufanywa katika wakati sahihi na Mhe. Rais.
Angalizo kwa Mhe Rais, awe makini sana na washauri wake hasa timu yake ya washauri na avunje kabisa kitengo cha VETTING TISS na kukiunda upya.
Hii ilikuwa ni aibu kwa Taifa. Yaani unamtoa Christiano Ronaldo unamuingiza Sapong????
Hongera Mama Samia kwa kuchukua hatua za haraka!