Huyu mama anajitekenya alafu ana Cheka mwenyeweView attachment 2847453
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.
Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo. Dkt. Nyasabo ni Mkurugenzi wa Maendeleao ya Biashara wa Benki ya Azania.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Hamuachi kulaumu.... Watanzania hususani Cdm hamna jemaHuyu mama anajitekenya alafu ana Cheka mwenyewe
Wallah tume huru ya uchaguzi ingekuwepo
CCM isingekuwepo madarakani until now
Job description za mwenyekiti wa Bodi ni zipi?Balozi Kisesa Kashafanya Uchunguzi na kupeleka Ripoti Kwa Mama. Hivyo M/kiti Mpya wa Bodi bwana Nyasabo ana maelekezo.
Kama ni ugonjwa basi nchi hii imepata ugonjwa wa kifafa..huyo anayefanya vetting ni km ameamua kupendelea watu kutoka mkoa wa Mara wadominate nafasi serikalini, ukiangalia kupitia majina..nafasi nyingi kwa sasa ni watu wa kutoka mara..nyabudege, matinyi, makori, Nyasabo, mafuru.. kuanzia madc, wakurugenzi nk orodha ni ndefu..stop this kind of selfishness!View attachment 2847453
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.
Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo. Dkt. Nyasabo ni Mkurugenzi wa Maendeleao ya Biashara wa Benki ya Azania.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Dotto Biteko kapewa fursa kupanga timu yake (board members). Mwisho wa bodi ya makamba. Sasa hakuna kisingizio. Dotto weka watu wako ila jua watanzania wanataka Umeme. Na hautakuwa Tena na kisingizio kuwa bodi hukupendekeza Wewe. Bado miezi mitatu ya ultimatum mliyopewa kumaliza mgao nchiniView attachment 2847459
Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania chini Uganda tarehe 18 Desemba, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi hiyo na amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Simuli.
Dkt. Nyansaho ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Dotto Biteko kapewa fursa kupanga timu yake (board members). Mwisho wa bodi ya makamba. Sasa hakuna kisingizio. Dotto weka watu wako ila jua watanzania wanataka Umeme. Na hautakuwa Tena na kisingizio kuwa bodi hukupendekeza Wewe. Bado miezi mitatu ya ultimatum mliyopewa kumaliza mgao nchini
Mama hajajua katika note book ya wakoloni wa kizungu kuna siri nzito ikielekeza wale wote watakao enda Tanganyika wawe makini na jamii ya watu wa mara katika utawala.Kama ni ugonjwa basi nchi hii imepata ugonjwa wa kifafa..huyo anayefanya vetting ni km ameamua kupendelea watu kutoka mkoa wa Mara wadominate nafasi serikalini, ukiangalia kupitia majina..nafasi nyingi kwa sasa ni watu wa kutoka mara..nyabudege, matinyi, makori, Nyasabo, mafuru.. kuanzia madc, wakurugenzi nk orodha ni ndefu..stop this kind of selfishness!
Uchunguzi wa nini??Balozi Kisesa Kashafanya Uchunguzi na kupeleka Ripoti Kwa Mama. Hivyo M/kiti Mpya wa Bodi bwana Nyasabo ana maelekezo.
Uishe wapi wakati mama ndiye aliyetoa tangazo la mgao hadi mwezi wa tatu mwakani?Sasa ndio kusema huu mgao utakwisha ama?
Yaani alitoa tangazo la mwisho wa mgao March mwakani alafu akampa ultimatum Biteko ya miezi mitatu ambayo inakamilika tar 26th Dec😄Uishe wapi wakati mama ndiye aliyetoa tangazo la mgao hadi mwezi wa tatu mwakani?
Tanesco ni watekelezaji tu wa hili tangazo la mh rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
TATIZO LA TANESCO SIO BODI WALA WATENDAJIView attachment 2847453