white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sasa jema lipi? Kwani ni wapi amefanya mabadiriko na yakaleta tija yoyote?!! Ni sandakalawe tuHamuachi kulaumu.... Watanzania hususani Cdm hamna jema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jema lipi? Kwani ni wapi amefanya mabadiriko na yakaleta tija yoyote?!! Ni sandakalawe tuHamuachi kulaumu.... Watanzania hususani Cdm hamna jema
Haisaidii endapo mabeans na kipara hawajashtakiwa
Wewe nani akuteuwe?Hizi teuzi wakati mwingine zinakuwa ni kero.
Sasa nimeamini, ni kweli mna macho lakini hayaoni.Sasa jema lipi? Kwani ni wapi amefanya mabadiriko na yakaleta tija yoyote?!! Ni sandakalawe tu
Umewakosea watu wa Mara. Sijui kama unawaelewa vizuriMama hajajua katika note book ya wakoloni wa kizungu kuna siri nzito ikielekeza wale wote watakao enda Tanganyika wawe makini na jamii ya watu wa mara katika utawala.
Ni watu ambao hawafugiki, hawa aminiki na wenye maamuzi ya kijasiri bila kufikiria kesho itakuwaje .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sandakalawe tu, yaani DC mwezi wa saba anatumbuliwa, baada ya miezi 4, anateuliwa tena kuwa DC,Sasa nimeamini, ni kweli mna macho lakini hayaoni.