Mtangulizi wa Biteko ndugu January Makamba alikuwa very clear, akasema kuna tatizo la miundombinu ya uzalishaji, na usambazaji wa umeme. Hakuishia hapo, pia alisema matatizo haya ili kuyamaliza yatahitaji fedha Tshs Trillion 4. Akamaliza kwa kusema bwawa la mwalimu Nyerere ni miongoni mwa mambo yatakayochangia kupunguza tatizo la umeme lkn siyo kumalizia kabisa.
Sasa huyu ndugu Biteko tangu aingie hapo wizarani amekuwa akiwinda watu wa taasisi zilizo chini yake badala ya kukabiliana na mzizi wa tatizo.
Hata leo rais amevunja bodi ya TANESCO kufuatia ushauri wa Biteko alidhani kwa kufanya hivyo tatizo la umeme litakwisha.
View attachment 2847569
The minister of energy has to swallow the bitter pills ; electric power generation and distribution are the main hurdles for the efficacy and efficiency of TANESCO; not the manpower.
Namshauri Biteko amwambie ukweli huyo mama, asimuyumbishe.