Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

Umetuchomea utambi,ilikuwa mimi Nyakao toka Ikizu Mission niteuliwe,umevuruga kila kitu
Kama ni ugonjwa basi nchi hii imepata ugonjwa wa kifafa..huyo anayefanya vetting ni km ameamua kupendelea watu kutoka mkoa wa Mara wadominate nafasi serikalini, ukiangalia kupitia majina..nafasi nyingi kwa sasa ni watu wa kutoka mara..nyabudege, matinyi, makori, Nyasabo, mafuru.. kuanzia madc, wakurugenzi nk orodha ni ndefu..stop this kind of selfishness!
 
Mtangulizi wa Biteko ndugu January Makamba alikuwa very clear, akasema kuna tatizo la miundombinu ya uzalishaji, na usambazaji wa umeme. Hakuishia hapo, pia alisema matatizo haya ili kuyamaliza yatahitaji fedha Tshs Trillion 4. Akamaliza kwa kusema bwawa la mwalimu Nyerere ni miongoni mwa mambo yatakayochangia kupunguza tatizo la umeme lkn siyo kumalizia kabisa.

Sasa huyu ndugu Biteko tangu aingie hapo wizarani amekuwa akiwinda watu wa taasisi zilizo chini yake badala ya kukabiliana na mzizi wa tatizo.

Hata leo rais amevunja bodi ya TANESCO kufuatia ushauri wa Biteko alidhani kwa kufanya hivyo tatizo la umeme litakwisha.

Screenshot_20231219-223306.png

The minister of energy has to swallow the bitter pills ; electric power generation and distribution are the main hurdles for the efficacy and efficiency of TANESCO; not the manpower.

Namshauri Biteko amwambie ukweli huyo mama, asimuyumbishe.
 
Mtangulizi wa Biteko ndugu January Makamba alikuwa very clear, akasema kuna tatizo la miundombinu yauzalishaji, na usambazaji wa umeme. Hakuishia hapo, pia alisema matatizo haya ili kuyaliza yatahitaji fedha Tshs Trillion 4. Akamaliza kwa kusema bwawa la mwalimu Nyerere ni miongoni mwa mambo yatakayochangia kupunguza tatizo la umeme lkn siyo kumalizia kabisa.

Sasa huyu ndugu Biteko tangu aingie hapo wizarani amekuwa akiwinda watu wa taasisi zilizo chini yake badala ya kukabiliana na mzizi wa tatizo.

Hata leo rais amevunja bodi ya TANESCO kufuatia ushauri wa Biteko alidhani kwa kufanya hivyo tatizo la umeme litakwisha.

View attachment 2847569

Ulitaka aanze na nani? Labda mwenzetu unajua.

Lakini hii hoja kwamba anawinda walio chini yake imetokana na nini? Inatokana na hayo mabadiliko?

Umejichafua kwa kuanza kumsifia Makamba ambaye ametufikisha hapa tulipo.
 
Hivi Hangaya mwenyewe haoni kinachoendelea hadi aambiwe ?
Pamoja na mapungufu huyu mama ni chaguo la Mungu

Kaanza na Ardhi Kwa kumuweka kijana sahihi chaguo la Mungu

Ukiisha itawala Ardhi umetawala Dunia

Wasiwasi wangu ni Kwa wale wanaotaka kufunga gavana Waziri kijana kukumbatia uchama kupitia uvamizi wa maeneo ya wamiliki halali haswa Dodoma

Mama wembe huo huo
Waziri Jerry wembe huohuo
 
Mtangulizi wa Biteko ndugu January Makamba alikuwa very clear, akasema kuna tatizo la miundombinu yauzalishaji, na usambazaji wa umeme. Hakuishia hapo, pia alisema matatizo haya ili kuyaliza yatahitaji fedha Tshs Trillion 4. Akamaliza kwa kusema bwawa la mwalimu Nyerere ni miongoni mwa mambo yatakayochangia kupunguza tatizo la umeme lkn siyo kumalizia kabisa.

Sasa huyu ndugu Biteko tangu aingie hapo wizarani amekuwa akiwinda watu wa taasisi zilizo chini yake badala ya kukabiliana na mzizi wa tatizo.

Hata leo rais amevunja bodi ya TANESCO kufuatia ushauri wa Biteko alidhani kwa kufanya hivyo tatizo la umeme litakwisha.

View attachment 2847569

The minister of energy has to swallow the bitter pills ; electric power generation and distribution are the main hurdles for the efficacy and efficiency of TANESCO; not the manpower.

Namshauri Biteko amwambie ukweli huyo mama, asimuyumbishe.
Hii ni kawaida nchi hii viongozi kutoa kafara watumishi wa chini. Ummy hashikiki anapoelezwa makosa yake, lakini akisikia kasoro mahali anafukuza watu mara moja. Biteko anajificha kwenye shamba la karanga baada ya kushindwa kutafuna fupa la mgao wa umeme.
 
Back
Top Bottom