Ikizu Bukama
Senior Member
- Nov 26, 2023
- 183
- 378
Kama ni ugonjwa basi nchi hii imepata ugonjwa wa kifafa..huyo anayefanya vetting ni km ameamua kupendelea watu kutoka mkoa wa Mara wadominate nafasi serikalini, ukiangalia kupitia majina..nafasi nyingi kwa sasa ni watu wa kutoka mara..nyabudege, matinyi, makori, Nyasabo, mafuru.. kuanzia madc, wakurugenzi nk orodha ni ndefu..stop this kind of selfishness!
Wachaa weeBalozi Kisesa Kashafanya Uchunguzi na kupeleka Ripoti Kwa Mama. Hivyo M/kiti Mpya wa Bodi bwana Nyasabo ana maelekezo.
Ukweli lazima usemweHamuachi kulaumu.... Watanzania hususani Cdm hamna jema
Hangaya mwenyewe michosho tu.Hivi Hangaya mwenyewe haoni kinachoendelea hadi aambiwe ?
Siku hizi anapaka hadi foundisheniHangaya mwenyewe michosho tu.
Ili uweze kuona ni sharti uwe na macho.Hivi Hangaya mwenyewe haoni kinachoendelea hadi aambiwe ?
Watu wa Pwani huwa hawako serious na kaziSiku hizi anapaka hadi foundisheni
Ulitaka aanze na nani? Labda mwenzetu unajua.Mtangulizi wa Biteko ndugu January Makamba alikuwa very clear, akasema kuna tatizo la miundombinu yauzalishaji, na usambazaji wa umeme. Hakuishia hapo, pia alisema matatizo haya ili kuyaliza yatahitaji fedha Tshs Trillion 4. Akamaliza kwa kusema bwawa la mwalimu Nyerere ni miongoni mwa mambo yatakayochangia kupunguza tatizo la umeme lkn siyo kumalizia kabisa.
Sasa huyu ndugu Biteko tangu aingie hapo wizarani amekuwa akiwinda watu wa taasisi zilizo chini yake badala ya kukabiliana na mzizi wa tatizo.
Hata leo rais amevunja bodi ya TANESCO kufuatia ushauri wa Biteko alidhani kwa kufanya hivyo tatizo la umeme litakwisha.
View attachment 2847569
The minister of energy has to swallow the bitter pills ; electric power generation and distribution are the main hurdles for the efficacy and efficiency of TANESCO; not the manpower.
Namshauri Biteko amwambie ukweli huyo mama, asimuyumbishe.
Haaaa hangayaaaa . Mdomo niache mie siku isogeeHivi Hangaya mwenyewe haoni kinachoendelea hadi aambiwe ?
Pamoja na mapungufu huyu mama ni chaguo la MunguHivi Hangaya mwenyewe haoni kinachoendelea hadi aambiwe ?
Ndio maana Bodi ilitakiwa ione kwanza kabla ya waziri na hangaya. Kama majukumu ya bodi ni kumshauri waziri na kusimamia majukumu ya taasisi na changamoto zimeendelea kuwepo unadhani maamuzi mazuri ni kufanya nini?Hivi Hangaya mwenyewe haoni kinachoendelea hadi aambiwe ?
Hii ni kawaida nchi hii viongozi kutoa kafara watumishi wa chini. Ummy hashikiki anapoelezwa makosa yake, lakini akisikia kasoro mahali anafukuza watu mara moja. Biteko anajificha kwenye shamba la karanga baada ya kushindwa kutafuna fupa la mgao wa umeme.Mtangulizi wa Biteko ndugu January Makamba alikuwa very clear, akasema kuna tatizo la miundombinu yauzalishaji, na usambazaji wa umeme. Hakuishia hapo, pia alisema matatizo haya ili kuyaliza yatahitaji fedha Tshs Trillion 4. Akamaliza kwa kusema bwawa la mwalimu Nyerere ni miongoni mwa mambo yatakayochangia kupunguza tatizo la umeme lkn siyo kumalizia kabisa.
Sasa huyu ndugu Biteko tangu aingie hapo wizarani amekuwa akiwinda watu wa taasisi zilizo chini yake badala ya kukabiliana na mzizi wa tatizo.
Hata leo rais amevunja bodi ya TANESCO kufuatia ushauri wa Biteko alidhani kwa kufanya hivyo tatizo la umeme litakwisha.
View attachment 2847569
The minister of energy has to swallow the bitter pills ; electric power generation and distribution are the main hurdles for the efficacy and efficiency of TANESCO; not the manpower.
Namshauri Biteko amwambie ukweli huyo mama, asimuyumbishe.