Wewe ndio Jeri?Pamoja na mapungufu huyu mama ni chaguo la Mungu
Kaanza na Ardhi Kwa kumuweka kijana sahihi chaguo la Mungu
Ukiisha itawala Ardhi umetawala Dunia
Wasiwasi wangu ni Kwa wale wanaotaka kufunga gavana Waziri kijana kukumbatia uchama kupitia uvamizi wa maeneo ya wamiliki halali haswa Dodoma
Mama wembe huo huo
Waziri Jerry wembe huohuo
Tumejifunza Sana Kuwa Uchaguzi Ujao TubadilikeWatu wa Pwani huwa hawako serious na kazi
Amekuwa mtu wa hovyo hana tofauti na Ummy na MakambaBiteko nafasi ya unaibu waziri mkuu ingemtosha kwakuwa mteule alikuwa na ramani yake isiyokuwa na mwisho , kazi zote za Nishati anafanya Yule bi dada na katibu mkuu Mramba hivyo tusitegemee mabadiliko yenye tija Kwa matatizo ya umeme haswa la mgao unaovutwa mbele kila kukicha.
Raisi SSH amezungukwa na kundi la wasio jielewa(washauri maslahi) hivyo na yeye anajitisha Kwa kinyago chake.
NCHI IWE KWENYE MGAO MIEZI ZAIDI YA 3 NA HAKUNA HATUA ZA DHARURA ZINACHUKULIWA hapa ndipo hayati Jiwe anagonga hodi kwenye vichwa vya Watanzania.
Ni afadhali angebakishwa Jmakamba na kufungiwa kidhibiti Mwendo Kwa Yale yenye kulitoa shirika katika reli( Uhaba wa vifaa, kutumia gari binafsi nchi nzima, kuwa na makundi ya kiongozi yasiyo na tija katika uendeshaji WA shirika n.k).Amekuwa mtu wa hovyo hana tofauti na Ummy na Makamba
Hapa hili ni jangili kubwa, why Kalemani asirudi?Ni afadhali angebakishwa Jmakamba na kufungiwa kidhibiti Mwendo Kwa Yale yenye kulitoa shirika katika reli( Uhaba wa vifaa, kutumia gari binafsi nchi nzima, kuwa na makundi ya kiongozi yasiyo na tija katika uendeshaji WA shirika n.k).
Biteko ni mzigo uumizao wananchi TANESCO , MH Raisi kujikwaa si kuanguka hakuna wa kukucheka labda mpuuzi pekee.
Kalemani siyo mtu Sahihi Ile wizara inataka mtu mfuatiliaji na mwenye ushawishi Kwa Mh Raisi kama alivyofanya Jmakamba shida ilikuja aliamini katika ushikaji sana Kwa Maharage ikawa King yake ya kumtoa jikoni. Ccm iko na wabunge wengi wafuatiliaji na wenye ushawishi Kwa kiongozi mkuu.Hapa hili ni jangili kubwa, why Kalemani asirudi
Enzi ya Kalema umeme 27,000 unafungiwa siku hiyo hiyo na haukatiki akaja huyu jangili 320,000 kufungiwa ni hisani hata miezi 6 unasubiri, Kalemani alikuwa anazunguka kufuatilia bei za gas n.k, Makamba ni mpiga dili hafaiKalemani siyo mtu Sahihi Ile wizara inataka mtu mfuatiliaji na mwenye ushawishi Kwa Mh Raisi kama alivyofanya Jmakamba shida ilikuja aliamini katika ushikaji sana Kwa Maharage ikawa King yake ya kumtoa jikoni. Ccm iko na wabunge wengi wafuatiliaji na wenye ushawishi Kwa kiongozi mkuu.
Ameangukiwa na dodo Chini ya m'buyu ungetarajia afanye nini lakini upepo wa Diblo si mchezo amekuwa si lolote licha ya coverage za media dhidi yake.Huyu naye amekuwa MC wa Rais badala ya kuwa msaidizi
Hatari snAmeangukiwa na dodo Chini ya m'buyu ungetarajia afanye nini lakini upepo wa Diblo si mchezo amekuwa si lolote licha ya coverage za media dhidi yake.
Ukisikia msomi hajaelimika jamaa anaingia,narudi tena Biteko ni mzigo Kwa Watanzania atoke Nishati SSH unakwama wapi ?.
Magufuli alitutendea haki kwenye umeme. Ulikuwa haukatiki ovyoovyoBiteko nafasi ya unaibu waziri mkuu ingemtosha kwakuwa mteule alikuwa na ramani yake isiyokuwa na mwisho , kazi zote za Nishati anafanya Yule bi dada na katibu mkuu Mramba hivyo tusitegemee mabadiliko yenye tija Kwa matatizo ya umeme haswa la mgao unaovutwa mbele kila kukicha.
Raisi SSH amezungukwa na kundi la wasio jielewa(washauri maslahi) hivyo na yeye anajitisha Kwa kinyago chake.
NCHI IWE KWENYE MGAO MIEZI ZAIDI YA 3 NA HAKUNA HATUA ZA DHARURA ZINACHUKULIWA hapa ndipo hayati Jiwe anagonga hodi kwenye vichwa vya Watanzania.
Biteko amevimba kichwa na Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kuliko Uwaziri. Naona sasa kila sehemu ni Mgeni Rasmi. Hana muda hata wa kushughulikia tatizo la Umeme.Mtangulizi wa Biteko ndugu January Makamba alikuwa very clear, akasema kuna tatizo la miundombinu ya uzalishaji, na usambazaji wa umeme. Hakuishia hapo, pia alisema matatizo haya ili kuyamaliza yatahitaji fedha Tshs Trillion 4. Akamaliza kwa kusema bwawa la mwalimu Nyerere ni miongoni mwa mambo yatakayochangia kupunguza tatizo la umeme lkn siyo kumalizia kabisa.
Sasa huyu ndugu Biteko tangu aingie hapo wizarani amekuwa akiwinda watu wa taasisi zilizo chini yake badala ya kukabiliana na mzizi wa tatizo.
Hata leo rais amevunja bodi ya TANESCO kufuatia ushauri wa Biteko alidhani kwa kufanya hivyo tatizo la umeme litakwisha.
View attachment 2847569
The minister of energy has to swallow the bitter pills ; electric power generation and distribution are the main hurdles for the efficacy and efficiency of TANESCO; not the manpower.
Namshauri Biteko amwambie ukweli huyo mama, asimuyumbishe.
Kama ni ugonjwa basi nchi hii imepata ugonjwa wa kifafa..huyo anayefanya vetting ni km ameamua kupendelea watu kutoka mkoa wa Mara wadominate nafasi serikalini, ukiangalia kupitia majina..nafasi nyingi kwa sasa ni watu wa kutoka mara..nyabudege, matinyi, makori, Nyasabo, mafuru.. kuanzia madc, wakurugenzi nk orodha ni ndefu..stop this kind of selfishness!