Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

Kuzidi Pwani, Tanga na Zanzibar?
 

Sawa Jerry Slaa tumekusikia. Ila ndugu Jerry siku nyingine acha kumhisisha Mungu na mambo ya kijinga.
 
Kama uwezo na sifa wanazo kwann wasiteuliwe
 
..miezi mitatu ya ultimatum inaisha Dec 26.

..Maza hajui anafanya nini. Yeye ni bora liende.

..alipomteua huyo Meja Jenerali kuwa Mwenyekiti wa Bodi hakujua kuwa anasubiri kuthibitishwa kuwa balozi?

MAMA SAMIA AFANYE NINI WAKATI NCHI HII MNAOJIITA WASOMI HAKUNA MNACHOJUA ZAIDI YA WIZI NA KUPIGA MADILI??

BILA SHAKA YULE KAFIRI MWENZENU MAGUFULI ALIWANYOOSHA SANA HADI MKAFIKIA HATUA YA KUMCHUKIA NA KUMWITA KATILI,THE SO CALLED WASOMI HAWA WA KANISA HAWANA HOFU YA MUNGU,WANACHOJUA NI WIZI NA UFISADI TUH,DISGRACE TO THIS NATION,HAMNA CREATIVITY HAMNA VISION WALA MISSION,NCHI HII MMEITIA MATATIZONI SANA
 
Huyo Makamba mwenyewe alikuta Hali nzuri ya umeme akaiacha katika Hali mbaya
 
What we want is stability and sustainability in power supply !!
 
Magufuli alitutendea haki kwenye umeme. Ulikuwa haukatiki ovyoovyo
Hakika, na aliruhusu matengenezo Kwa kiwango kikubwa katika njia za kusafirisha na kusambazia umeme shida ilikuwa Kwa Kalemani haikuwa na utashi wa kumshauri hayati kufanyia matengenezo na mitambo yeye alibakia kutake over Kwa media Kwa miradi ya REA ni jinga fulani , ameona aliyemfuatia akapenyeza wazo Kwa Mh Raisi akaweka mzigo Kwa matengenezo sasa urafi ukamjaa ikawa ni kujichotea Kwa kuset kandarasi za michongo na kuziweka kazi zote katika kapu moja ili aone anachota wapi na Kwa kiwango gani. Raisi SSH umejikwaa Kwa BITEKO jilekebishe safari bado.
 
Watabadilisha wakurugenzi na hali haita badilika. Narudia kusema, mafundi wakuu wa tanesco ndio wakuchunguzwa. Kuanzia kwenye vinu hadi kwenye transifoma za kwenye mikoa na wilaya.

Mafundi hawa wachunguzwe utendaji wao, wanaweza kutumiwa na wanasiasa ili kujenga taharuki ili watu wasiiamini serikali yao.

Wachunguzwe, wanaokwamisha watolewe wawekwe wapya kwa mikataba ya mwaka mmojammoja, ataebolonga mwaka ukiisha asiongezewe mkataba.akapunzike.

Huu unaoendelea sasa ni uchuro..umeme unakatika hadi siku 4 kwenye mawilaya huko.
Mnateua mkurugenzi asiejua umeme, hata kuwasha switch anaogopa anatuma watoto unategemea asimamie umeme!!
 
Haisaidii endapo mabeans na kipara hawajashtakiwa
 

..Maza naye si msomi wa nchi hii, tena ana PhD na Chifu?

..Wizi na ukatili hapa Tz unafanywa na watu wa madhehebu yote sasa hivi.

..Miaka ya nyuma ungeweza kujenga hoja kwamba madhehebu fulani wamehodhi nafasi nyeti, lakini sasa hivi kila dhehebu linawakilishwa vizuri ktk mabaya na mema ya taifa hili.

..Mwisho, hakuna dhehebu linalofundisha au lenye itikadi ya mambo ya hovyo. Kwa hiyo naamini mtu anapokuwa katili au fisadi ni kwasababu tofauti na madhehebu yake.

..Hutanisikia hata siku moja nikikosoa utendaji wa Rais Samia, Magufuli, Kikwete, Mkapa, Mwinyi, au Nyerere, kwa kuwaunganisha na madhehebu yao.
 
Bandika bandua inaendelea... Bado mbili za kufungia mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunachezewa sarakasi tu…ukweli alishatuambia JPM sasa hv tunaamini sarakasi hizi sijui tumelogwa na nani..

watanzania sisi ni wapole mno…tushafanywa kichwa cha mwendawazimu…
 

Rais Huyu inaonekana anafatilia sana performance reports..
Hakuna kelele nyingi ni vitendo tu.
 
Tanesco na upungufu wa umeme Tanzania ni kero kubwa sana.

Nchi sijui inazalisha megawatt 1700 wakati kenya na Zambia
zinazalisha around 3000.

Na nchi nyingine ndogo Africa zinatekeleza project za kuzalisha above 10,000 megawatts.

Tuna vyanzo vingi vya umeme geothermal Wind Solar Uranium gas etc.

Inashangaza tunafocus kwenye Dams wakati kuna changamoto ya climate change na ukame soon hayo mabwawa yatakuwa hayana maji tatizo litakuwa pale pale la crisis ya mgawo.

Nchi inatakiwa kuwa na balance mix ya power production kiwe kipaumbele
namba moja kuliko kununua hizo ndege zinazoingiza hasara.
 
Tangu asubuhi mpaka muda huu hakuna umeme, hii nchi ni shida kwa majigambo
 
Ila msisahau na historia,ilivyotenganishwa kipindi fulani impact yake ilikuwa nini hadi tuka ajwaa na kusema iwe hivi ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…