Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

Tutumie na ile picha anasubiri daladala aende kwenye studio...ili tujue kwa kiasi gani amewaacha hoi wazungu.....Haaaaaahaaaa
Kwa nini asubiri daladala? Ina maana wenyeji wake (ubalozi & wenye filamu) hawana magari? Kwa nini wasitumie ubber badala ya kusubiri mwendokasi?
 
Kimalikia ni kipimo Cha Akili,??

Mbona anajulikana kua alifeli feli sana tu, hata kusoma kwake alisoma Kwa kuunga unga tu sababu ni wale wa Vichwa vizito, ujanja Mdomoni.
Kama aliunga unga na leo yupo kwenye ngazi hile, Mimi naweza sema special to bravo to her. Wewe ambae umeenda direct kwenye kusoma kwako leo hii upo nyuma ukijari kumwa mine
 
Kimalikia ni kipimo Cha Akili,??

Mbona anajulikana kua alifeli feli sana tu, hata kusoma kwake alisoma Kwa kuunga unga tu sababu ni wale wa Vichwa vizito, ujanja Mdomoni.
Kwani akili na maana ya akili ni nini?
Na nani amesema kufail na kutokufail ndio kipimo cha akili?
Kwa hatua tremendous aliyofikia basi ni kielelezo tosha kwamba ana akili kupitiliza.

Kama kutokufail ndio kipimo cha akili, wewe ambaye hujafail uko wapi ukijilinganisha na mama samia?
 
Halafu wasukuma wote hawajawahi kimpenfa kabisa huyu mama[emoji28]
What so special about kupendwa na wasukuma?
I'm not condescending lakini wasukuma si ndio wale wanaoshindwa kutamka maneno ya kiswahili fasaha?

Seriously spare madam president the random nonsense, would you?
 
😍
 
Fuatilia kupitia link hii:

Hivi nini kazi ya Ubalozi wetu huko Marekani? Madiplomat wamekaa tu hawana cha kufanya kazi kupiga umbea tu na kujiona wa maana wakati hawana hela zozote. Mama rudi Tanzania, nchi itakushinda hii.
 
Back
Top Bottom