RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Sio sababu ya kutokujua lugha nyingine na kuiongea!!Kimalikia ni kipimo Cha Akili,??
Mbona anajulikana kua alifeli feli sana tu, hata kusoma kwake alisoma Kwa kuunga unga tu sababu ni wale wa Vichwa vizito, ujanja Mdomoni.