Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

The purpose of I and my team being here is to bring to the attention of the people of the United States of America and the world on the beautiful country with a lot of potentials, the country is called United Republic of Tanzania.
 
Marehemu, hata Kiswahili alikuwa hajui. Hakuweza kuongea Kiswahili fasaha.

Katika wote, walioizimudu vizuri lugha zetu zote mbili (Tanzania official languages), Kiingereza na Kiswahili:

1) Mwalimu Nyerere
2) Benjamin Mkapa

Hawa wengine, Mwinyi, Kikwete na Samia, wanaeleweka. Wapo kwenye average.

The worst katika Lugha zote 2 alikuwa marehemu. Hakuweza kuongea Kiswahili kizuri, na kwenye Kiingereza ilikuwa ni shida kabisa kiasi cha mtu unashindwa kujua aliwezaje kufanya masomo yake ya elimu ya juu yanayofundishwa kwa lugha ya Kiingereza.
ukweli ndio mkuu
 
huyo mama asipokaa vizuri wazungu watamtomber wakijifanya wanaigiza


wataingiza kweli ooh
 
Kimalikia ni kipimo Cha Akili,??


Mbona anajulikana kua alifeli feli sana tu, hata kusoma kwake alisoma Kwa kuunga unga tu sababu ni wale wa Vichwa vizito, ujanja Mdomoni.
wewe uliyefaulu na huna elimu ya kuunga unga Leo upo kitengo Gani ukimlinganisha na yule aliyeunga unga?

Nauliza tu!
 
Sema Samia anakikanyaga cha malkia vizuri kuliko mwendazake mzee the the you you now we are in the right track.
Aisee ili mradi tuu kambi hasimu mchokozane.

Hao viongozi wote kila mtu ana zuri lake na baya lake ila ni ukweli SSH kinapanda sana na anayo exposure pengine hakukulia mazingira ya ujima kama mie na yule [emoji16]
 
jirani yetu kenya.
Ha ha ha haaa! Kwa hiyo Kenya wananchi wake wote wanalamba asali toka enzi za Mwalimu Nyerere tofauti na sisi ambao wote sasa tunalamba asali kipindi hiki. Kweli mambo ni mengi sana.
 
The purpose of I and my team being here is to bring to the attention of the people of the United States of America and the world on the beautiful country with a lot of potentials, the country is called United Republic of Tanzania.
Hakijakaa sawa hichi..😀
 
Alishindwa bana,maana kwa wakati wao elimu ilikua almost bure tu na pia kwa maelezo yake mzee wake hakushindwa kumsomesha ila yeye ndiye hakua na sifa za kusonga mbele.
"Kusonga mbele" kwenda wapi?

Kwani kasoma hadi wapi?

Hapo alipofikia siyo mbele?

Nauliza haya maswali, kwa sababu sijui kasoma hadi wapi. Siulizi kwa sababu ya kumtetea.
 
achana na nyerere yeye ndiye aliyetufikisha hapa nyerere anaondoka kumwachia Mwinyi nchi ilikuwa taabani hakuna chakula, hakuna nguo, viatu tulikuwa tunavaa mataruma, barabara mbovu hamuyajui hayo au ulikuwa hujazaliwa tumwachie tu huyo nyerere huko aliko lakini yeye ndiye aliyesababisha hi nchi kuwa nyuma kiuchmi kuliko jirani yetu kenya.
Wewe ni punguani asiyejua kitu.

Hayo uliyoandika hapo juu umekaririshwa tu hakuna lolote ujualo.

Kenya chini ya Moi nayo unaiita nchi ya kuweka kama mfano? Kenya ya Jomo, nayo unaiweka kama mfano wa kuigwa kwa chochote?

Huko ulikokuona kuwa nafuu hata hujui kulitokana na nini, ila kwa kuwa umefundishwa kuimba kama kasuku huachi kuimba. Kenya iliachwa kama koloni, na hadi leo ni kama koloni.
 
Back
Top Bottom