Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

The purpose of I and my team being here is to bring to the attention of the people of the United States of America and the world on the beautiful country with a lot of potentials, the country is called United Republic of Tanzania.
 
ukweli ndio mkuu
 
huyo mama asipokaa vizuri wazungu watamtomber wakijifanya wanaigiza


wataingiza kweli ooh
 
Kimalikia ni kipimo Cha Akili,??


Mbona anajulikana kua alifeli feli sana tu, hata kusoma kwake alisoma Kwa kuunga unga tu sababu ni wale wa Vichwa vizito, ujanja Mdomoni.
wewe uliyefaulu na huna elimu ya kuunga unga Leo upo kitengo Gani ukimlinganisha na yule aliyeunga unga?

Nauliza tu!
 
Sema Samia anakikanyaga cha malkia vizuri kuliko mwendazake mzee the the you you now we are in the right track.
Aisee ili mradi tuu kambi hasimu mchokozane.

Hao viongozi wote kila mtu ana zuri lake na baya lake ila ni ukweli SSH kinapanda sana na anayo exposure pengine hakukulia mazingira ya ujima kama mie na yule [emoji16]
 
jirani yetu kenya.
Ha ha ha haaa! Kwa hiyo Kenya wananchi wake wote wanalamba asali toka enzi za Mwalimu Nyerere tofauti na sisi ambao wote sasa tunalamba asali kipindi hiki. Kweli mambo ni mengi sana.
 
The purpose of I and my team being here is to bring to the attention of the people of the United States of America and the world on the beautiful country with a lot of potentials, the country is called United Republic of Tanzania.
Hakijakaa sawa hichi..😀
 
Alishindwa bana,maana kwa wakati wao elimu ilikua almost bure tu na pia kwa maelezo yake mzee wake hakushindwa kumsomesha ila yeye ndiye hakua na sifa za kusonga mbele.
"Kusonga mbele" kwenda wapi?

Kwani kasoma hadi wapi?

Hapo alipofikia siyo mbele?

Nauliza haya maswali, kwa sababu sijui kasoma hadi wapi. Siulizi kwa sababu ya kumtetea.
 
Wewe ni punguani asiyejua kitu.

Hayo uliyoandika hapo juu umekaririshwa tu hakuna lolote ujualo.

Kenya chini ya Moi nayo unaiita nchi ya kuweka kama mfano? Kenya ya Jomo, nayo unaiweka kama mfano wa kuigwa kwa chochote?

Huko ulikokuona kuwa nafuu hata hujui kulitokana na nini, ila kwa kuwa umefundishwa kuimba kama kasuku huachi kuimba. Kenya iliachwa kama koloni, na hadi leo ni kama koloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…