Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo;

1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

2. Balozi Mteule, Lt. Jen. Yakub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki

3. Balozi Mteule Mahmoud Thabit Kombo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia

4. Balozi Mteule Elsie Sia Kanza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani
 
Nimesikia kutoka Uganda Jana kuwa rais M7 kateua majaji wa mahakama kuu. Lakini hiyo haitoshi maana inabidi majina yao yapelekwe bungeni ili yaidhinishwe kama kweli wanafaa kulitumika taifa au kumtumikia aliyewateua, na huenda palikuwa na vetting kabla ya huo uteuzi.
Huko ni Uganda ambako tuliaminishwa miaka yote kwamba siasa zao sio nzuri na wana udikteta!
 
Wabunge wao wakoje? Majority ni chama gani?
 
Back
Top Bottom