Akimaliza hapo akapande ndege.
Hilo ndilo alijualo zaidi. Wenzie wanampiga kiulaini.Akimaliza hapo akapande ndege.
Mshauri awe anawaapisha kwenye ndege angani.Sasa ulitaka apande punda au ungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamani [emoji119][emoji119][emoji119]
Amekosa mvuto ndani ya muda mfupi sana.....
Mshauri awe anawaapisha kwenye ndege angani.
Na mtasema sana.Hapa tumepigwa wakuu tena mchana kweupe
Hahahahahaha.Amekosa mvuto ndani ya muda mfupi sana.....
Sawa mwali, wasalimie Lumumber...🙄Tuendelee kumpa muda tuu hamna namna☺☺☺☺
Hamna hoja nyinyi.Hilo ndilo alijualo zaidi. Wenzie wanampiga kiulaini.
Wabunge wao wakoje? Majority ni chama gani?Nimesikia kutoka Uganda Jana kuwa rais M7 kateua majaji wa mahakama kuu. Lakini hiyo haitoshi maana inabidi majina yao yapelekwe bungeni ili yaidhinishwe kama kweli wanafaa kulitumika taifa au kumtumikia aliyewateua, na huenda palikuwa na vetting kabla ya huo uteuzi.
Huko ni Uganda ambako tuliaminishwa miaka yote kwamba siasa zao sio nzuri na wana udikteta!