Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

Wew mama yao,hivi kujenga uchumi ndio huku kutubambika matozo na kodi yasiyo na kichwa wala miguu?
 
Huyu mama anaipeleka nchi kuwa chini ya sheria za kiislamu. Ni muda tu utaongea!
 
Hongera sana Mtendaji Mkuu wa Mahakama
Elisante Gabrieli, hakika unalo jukumu la kuuboresha zaidi Muhimili huu wa Mahakama ambao ni muhimu kwa wananchi.
sisi wananchi tunataka kutendewa haki.
hakikisha watumishi wa mahakama wanapendana wao kwa wao, wapunguze majungu maana majungu yanapunguza ufanisi wa kazi. kwanza hakikisha haki inatendeka miongoni mwa watumishi wa Muhimili wa Mahakama kwa kufanya hivyo na sisi wananchi tutakuwa na imani kuwa tutatendewa haki. Haki lazima kwanza itawale kwenye Muhimili wenyewe hiyo itajenga imani kwa wananchi.
ondoa uonevu, haki itawale. usikubali kuhadaiwa na wachache, simamia weledi wako.
Kazi iendelee.
 
watumishi wa Mahakama badilikeni acheni kusemana semana na majungu maofisini, mmeaminwa kutenda haki acheni tabia zisizo faaa zinatukera sisi wananchi.
Mtendaji Mkuu Prof. Elisante atasafisha uozo wote.
 
Profesa Ole Gabriel hongera lakini alistahili ileeeeee post kubwa lakini du naona wameona wampeleke kuwa mtendaji mkuu wa mahakama!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…