pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ndio maana huwezi kuwa yeye and you will NEVER be yeye.Ningekuwa SSH ningeanza na baraza la mawaziri, hao watu wa mwendazake ndio 'magaidi' wake na sio Mbowe!
Muda ni mwalimu mzuri sana, atakuja kujutia hilo
Yaani huyu Madam ni kupanda ndege na kuagwa na kupokelewa, kupanda ndege, kuagwa na kupokelewa 😂😂😂 inaonekana anapenda sana ndege huyu.Akimaliza hapo akapande ndege.
Tena sasa hivi pesa inapigwa mbaya sana. Huyu Madam ni mzigo kwa taifa.Hilo ndilo alijualo zaidi. Wenzie wanampiga kiulaini.
Mke wangu naona utumbo mkubwa unakusumbua eeh?Potelea nyanda za juu kaskazini.
Kimyaaaaaaaa, mlidhani mtamchezea Amir jeshi mkuu??? Jinga kabisa!
Elewa tafsiri ya lawama, tofauti ya lawama na taarifa.Hata wewe hapa umetoa lawana kwahiyo huna tofauti na hao uliowasema.
Taratibu na uwe na adabu kidogo,usitutolee povu,huna uwezo wa kumhamisha mtu yeyote kumpeleka Burundi,kila mtu anayo haki,uhuru wa kueleza hisia zake juu ya jambo flani au mtu flani,yeye ni nani asiongelewe? Kama nchi imeshamshinda tuache kusema,kipi anachokifanya sasa hivi cha maana zaida ya kupaa na ndege kila siku,Tuliza makagale na uache mihemuko!Message was simple and clear. Kama vipi hamieni Burundi huko!
Mnadhani maendeleo yanashuka tu kutoka mbinguni???
Wewe linalokuuma ni Waislam kuteuliwa au Wazanzibari kupewa nafasi?? Likikuuma sana usisite kusema
Nimesikia kutoka Uganda Jana kuwa rais M7 kateua majaji wa mahakama kuu. Lakini hiyo haitoshi maana inabidi majina yao yapelekwe bungeni ili yaidhinishwe kama kweli wanafaa kulitumika taifa au kumtumikia aliyewateua, na huenda palikuwa na vetting kabla ya huo uteuzi.
Huko ni Uganda ambako tuliaminishwa miaka yote kwamba siasa zao sio nzuri na wana udikteta!
Who cares?the election isnt up until 2025Amekosa mvuto ndani ya muda mfupi sana.....
Hakika kabisa nchi itajengwa na watanzania wenyewe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama kabisa Swahiba
Tunapambana na kodi kwa maendeleo ya taifa