Mkuu, rekebisha hapo.Katiba pendekezwa iliyopunguza Madaraka ya Rais ililetwa wakati wa JK ikakataliwa, Wapinzani walitaka hadi Serikali 3 nayo iwemo
Subira yavuta kheri
Mkuu, rekebisha hapo.
Sio wapinzania waliopendekeza serikali 3 bali ni wananchi kupitia kamati/tume ya Mzee Warioba na Jaji Ramadhani (R.I.P)
Tuendelee kuwatwisha majungu wapinzani huku tukiwajua waliotufikisha hapa.Nazungumzia level ya Bunge la Katiba
Waliokataa hadi kutoka Bungeni ni Wapinzani
Wabunge asilimia 95 waliwekwa na magufuli ili abadilishe katiba, sasa unataka ateue baraza na watu ni wale wale wa magufuliNingekuwa SSH ningeanza na baraza la mawaziri, hao watu wa mwendazake ndio 'magaidi' wake na sio Mbowe!
Muda ni mwalimu mzuri sana, atakuja kujutia hilo
Wapo wanakagua miradi na kutembelea wananchi nenda youtube utawaona, shida ni hufuatilii ndio maana unasema wamepoaMawazir wamepoaaa lukuvi, majariwa, jafo wametulia kama hawa nchiii